SAFU »

06Jun 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mjadala

WIKI iliyopita, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), na Kampuni ya Azam Media ziliingia mkataba kwa ajili ya kuonyesha matangazo ya moja kwa moja ya mechi za Ligi Kuu ya Wanawake na Ligi ya Taifa ya...

05Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

ASILIMIA 80 ya Watanzania wamejiajiri katika sekta isiyo rasmi; wengi wao wakiwa vijana, ili waweze kujipatia kipato na kujikimu kwa mahitaji yao ya kila siku.

05Jun 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

VITILIGO ni ugonjwa unaosababisha kupotea kwa sehemu ya juu ya rangi ya ngozi.

05Jun 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

MARA nyingi tumezoea kushuhudia migogoro kwenye familia hasa inapotokea mmoja wa wanandoa anapofariki dunia.
Wajane na watoto huwa waathirika wakubwa baada ya ndugu wa marehemu kuwanyang’...

04Jun 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KINDUMBWENDUMBWE cha Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inayodhaminiwa na Kampuni ya simu ya Vodacom ilimalizika Mei 22 mwaka huu na Yanga kutwaa ubingwa mara ya pili mfululizo.

04Jun 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe

MUONE yule anacheka na kutikisa kichwa hata kabla ya kusoma habari nzima. Usitoe hukumu kwa kusoma kichwa cha habari tu. Don’t judge a book based on the cover dude.

03Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MATUKIO ya mauaji ya kikatili kwa kutumia silaha za jadi kama vile mapanga, visu na nyinginezo yanaendelea kuibuka siku hadi siku.

03Jun 2016
Abrahamu Ntambara
Nipashe
Mjadala

TANGU utekelezaji wa mpango wa elimu bure kwa shule za msingi na sekondari idadi ya wanafunzi imeongezeka sana ukilinganisha na miaka iliyopita.

03Jun 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

ILI kufanikiwa kwenye jambo lolote maishani na kulifanya vizuri ni lazima ujifunze.

02Jun 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TANGU mabasi yanayokwenda haraka yaanze kutoa huduma jijini Dar es Salaam, Mei 16 mwaka huu, mabasi zaidi ya 34 yamegongwa.

01Jun 2016
Restuta James
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

TANGU Desemba 09, mwaka jana Rais John Magufuli, alipoingilia suala la usafi kwa kushiriki kufagia maeneo yanayozunguka Ikulu, suala hilo ni kama limepotoshwa.

01Jun 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SERIKALI ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dk. John Magufuli na timu yake ina nia mmoja tu ya kuikwamua nchi kutoka katika lindi la ufukara uliopindukia, kama ambavyo mwenyewe amekuwa...

31May 2016
Abrahamu Ntambara
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA siku za hivi karibuni zimekuwapo ripoti za matukio ya mauaji ya kikatili dhidi yabinadamu katika maeneo mbali mbali nchini.

Pages