SAFU »

24Jan 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
UPEPO WA KISPOTI

ZILIANDIKWA makala nyingi za kuipongeza Yanga kwa hatua ilizochukua kwa mchezaji wake, Haruna Niyonzima.

22Jan 2016
Nipashe

KILIMO cha Tangawizi wilayani hapa hivi sasa kinasambaa kwa kasi kubwa, kila mkulima akihamasika kukiendeleza. Ni miongoni mwa mazao mahsusi kwa ajili ya kuinua uwezo wa wananchi masikini.

22Jan 2016
Mary Geofrey
Nipashe

BOMOABOMOA imepita katika maeneo tofauti jijini Dar es Salaam na wakazi wanaokadiriwa 1,000 wameathirika.

22Jan 2016
Nipashe

KUFANYIKA magendo imekuwa ikipigiwa kelele kila kukicha mkoani Kagera, kutokana na mkoa kupakana na nchi za Rwanda, Burundi na Uganda.

22Jan 2016
Nipashe
Mjadala

WIKI mbili zilizopita, Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ilifungua ukurasa mpya nchini ilipofanya sherehe ya kutoa vyeti kwa wahitimu 67 wa programu ya kurasimisha ufundi, ama...

22Jan 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA kipindi cha cha karibu muongo mmoja sasa, teknolojia habari na mawasiliano imekua kwa kasi Tanzania hata kuchangia ongezeko la watumiaji wa simu za mkononi.

21Jan 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KITUO cha Mabasi yaendayo Mikoani na Nchi jirani Ubungo (UBT), kinategemewa na wasafiri wengi jiji la Dar es Salaam na watokao mikoa mbalimbali na nchi jirani.

21Jan 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KITUO cha Mabasi yaendayo Mikoani na Nchi jirani Ubungo (UBT), kinategemewa na wasafiri wengi jiji la Dar es Salaam na watokao mikoa mbalimbali na nchi jirani.

20Jan 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADA ya kuahirishwa mara kadhaa, hatimaye uchaguzi wa meya na naibu meya katika manispaa za Kinondoni na Ilala, jijini Dar es Salaam umefanyika kwa utulivu na amani.

19Jan 2016
Nipashe
Mjadala

Wakazi walioishi katika Bonde la mto Msimbazi eneo la Mkwajuni,Kinondon Desemba 17,mwaka jana, walibomolewa nyumba zao ikiwa ni mwendelezo wa bomoabomoa unaoendelea mkoani Dar es Salaam.

18Jan 2016
Nipashe
Mjadala

TANGU Kocha Mkuu wa timu ya taifa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa alipomteua mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wa ndani Mbwana Samatta kuwa nahodha mpya wa timu ya taifa kumekuwa na mijadala...

18Jan 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MICHUANO ya 10 ya Kombe la Mapinduzi ilimalizika wiki iliyopita huku klabu ya URA ikitwaa ubingwa baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar....

14Jan 2016
Nipashe
Mjadala

KWANZA kabisa napenda kumpongeza Rais wa Awamu ya Tano, Dk.John Magufuli kwa uamuzi wake wa kutoa elimu bure kuanzia madarasa ya awali hadi kidato cha nne.

Pages