SAFU »

28Feb 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), wakati inawasilisha serikalini taarifa ya tathmini ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 iliwasilisha mapendekezo kadhaa...........

27Feb 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TUMBAKU, pamba, korosho, chai na kahawa ni mazao makuu ya biashara, ambayo serikali imekuwa ikijitahidi kuimarisha uzalishaji wake, ili taifa liweze kujipatia fedha za kigeni na kuinua uchumi wa...

27Feb 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

UBORA wa lugha yoyote ni kujua dhana inayowakilishwa na neno; kujua maana na matumizi ya neno husika: umoja, wingi, wakati uliopita, uliopo na ujao.

26Feb 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

KABLA ya mechi yao ya jana ya Kombe la FA dhidi ya Yanga, viongozi wa Majimaji walisimamisha wachezaji wasiopungua  watano.

26Feb 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA mara ya kwanza katika historia, Tanzania ilipokea ujumbe mzito wa viongozi wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), wakiongozwa na Rais wake, Gianni Infantino.

24Feb 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MANENO tu hayawezi kuvunja mifupa hata yakawa makali kiasi gani. Simba na Yanga zimefaulu kuingia raundi ya kwanza ya mashindano ya kimataifa baada ya kuwatoa mabingwa wa Djibout na Shelisheli....

24Feb 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

BILA shaka wengi watakuwa wamejaribu kujiuliza, swali hili je ni nani hasa, ana wajibu wa kumtunza mwenzake baina ya wanandoa au kati ya mke na mume?

23Feb 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

WAZAZI ni wadau muhimu katika sekta ya elimu na wanaweza kutoa mchango mkubwa katika kuiboresha, iwapo watatambua kwamba wanatakiwa kufuatilia maendeleo ya watoto wao shuleni.

23Feb 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUMEKUWAPO na tabia ya baadhi ya wazazi na walezi kushindwa kuhudhuria kwenye vikao vya shule kila wanapotakiwa kufanya hivyo.

22Feb 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SERIKALI ya Awamu ya Tano ambayo iko madarakani, imeweka dhamira ya kuwawezesha wananchi wapatiwe mikopo ili waweze kujikwamua katika shughuli zao za kiuchumi.

21Feb 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Uchambuzi

KIFO cha mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), aliyeuawa jijini Dar es Salaam hivi karibuni, kwenye mazingira ya dola kupambana na wananchi kwa mambo ya uchaguzi mdogo wa mbunge...

21Feb 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

LICHA ya Tanzania kuwa nchi ya amani kwa miongo mingi, viongozi wa serikali na dini wamekuwa wakiwahimiza Watanzania kudumisha amani hiyo ambayo ni msingi wa kila jambo jema linalopatikana ndani...

21Feb 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KAMPENI za kuwania ubunge katika majimbo ya Kinondoni na Siha zimefungwa na kinachosubiriwa ni kuapishwa kwa wabunge wapya wawili wa CCM walioibuka na ushindi kwenye uchaguzi uliomalizika Jumamosi...

Pages