SAFU »

13May 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SOKA la Bongo kwa miaka ya sasa timu za Simba na Yanga zikifungwa ni kama 'msiba wa mswahili' ambao haukosi sababu.

11May 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘USUBI’ ni wadudu wadogo wanaofanana na mbu. ‘Kapa’ ni sehemu ya pwani inayoota mikoko na ambayo huwa na tope na haikosi usubi. Maana yake hakuna msitu wa mikoko usiokuwa na usubi.

10May 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MABARAZA la Ardhi ya Kata yalianzishwa kwa lengo la kuhakikisha kesi au mashauri yanayohusu migogoro ya ardhi kuanzia ngazi ya vitongoji, vijiji au mitaa yanapatiwa utatuzi wa kisheria katika...

08May 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya vikwazo vinavyokwamisha gurudumu la maendeleo ya taifa ni cha watu kufanya kazi kwa mazoea.

07May 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA Janga kubwa linaloendelea kuzinyemelea afya za Watanzania walio wengi nchini, kwamba lisipodhibitiwa sasa na mamlaka zenye dhamana linaweka rehani maisha yao.

06May 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA kawaida, binadamu anatakiwa aishi kwa kujiamini na kufanya kila kitu kwa utashi wake na si kwa kelele au maneno kutoka kwa watu wengine.

04May 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI vigumu kukumbuka mambo mengi aliyofanya Dk. Reginald Mengi wakati wa uhai wake. Kwa hakika ni mengi kama lilivyo jina lake.

02May 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

Tangu kuingia madarakani kwa Rais Dk. John Magufuli, msisitizo umekuwa uanzishaji, ufufuaji na uendelezaji wa viwanda nchini.

 

30Apr 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA faida nyingi za usafi kwa mtu binafsi, kijiji, mji, jiji, taifa na dunia kwa ujumla wake.

30Apr 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

MTINDO wa uvaaji wa suruali katikati ya makalio ambao ni maarufu kama ‘kata k,’ unazidi kujipatia umaarufu miongoni mwa vijana wakiwamo hata wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.

30Apr 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

NYIE waandishi endeleeni kuchafua lugha yetu ya taifa (Kiswahili), ila mimi sitochoka kuwakumbusha na kuwakosoa kila mnapotumia maneno yanayopotosha Kiswahili.

29Apr 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HUU ni wakati ambao Ligi Kuu inaelekea ukingoni, huku timu nyingi zikionekana kuamka kwa sababu mbalimbali, zingine zikitaka ubingwa, zingine zikikimbia janga la kushuka daraja.

27Apr 2019
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

JANA ilikuwa siku ya mapumziko kitaifa, kuadhimisha Miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tangu kuasisiwa kwake, Aprili 26 mwaka1964.

Pages