SAFU »

05Feb 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA huu wa 2020 ni wa uchaguzi mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais. Kama ilivyo kila unapofanyika uchaguzi huo, hamasa za kiasa huwa zinaongezeka kila kona ya nchi.

04Feb 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UHABA wa walimu wa masomo ya sayansi, ni moja ya changamoto, ambayo inaendelea kuzikabili shule za umma na kusababisha wanafunzi kutojifunza vya kutosha masomo hayo.

03Feb 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA sasa Wabongo wako 'bize' kushangilia bao la Mbwana Samatta kwenye Ligi Kuu ya England, na kuwasahaulisha kuwa msimu ujao Tanzania itapeleka timu mbili tu kwenye michuano ya kimataifa, moja...

01Feb 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“ADUI wa mtu ni mtu,” chambilecho wahenga, yaani babu zetu. Maana yake binadamu huhasiriwa (fanyiwa matendo ya kumdhuru au kumwumiza kimwili na kiakili) na binadamu mwenzake.

31Jan 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya tatizo kubwa hivi sasa kwa vijana nchini, ni ukosefu wa ajira, inaosababisha baadhi yao kushinda vijiweni au kuzunguka katika ofisi kusaka ajira ya kukimu maisha yao.

30Jan 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA maeneo ya mijini, ni kawaida kukuta makundi ya watu wakifanya shughuli mbalimbali, zikiwamo za mamalishe, uuzaji nguo za mitumba, kuchoma viazi, mihogo, mahindi na nyingine nyingi.

29Jan 2020
Beatrice Moses
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili(MNH)tawi la Mloganzila inatajwa kuwa miongoni mwa taasisi za afya zenye majengo mazuri na mazingira ya kuvutia hasa Afrika Mashariki.

28Jan 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UTORO shuleni kwa baadhi ya walimu, unachangia kukwamisha lengo namba nne la maendeleo endelevu linalohusu elimu. Hivyo, ni vyema kuendelea kudhibitiwa kwa nguvu zote.

27Jan 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TUMEIONA timu ya Simba kwenye mechi mbalimbali za Ligi Kuu, Kombe la Mapinduzi na Kombe la FA siku ya Jumamosi ilipoichapa Mwadui mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

25Jan 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HALAHALA Yanga, mgwizi haliwi na funo. ‘Mgwizi’ ni mnyama anayewagwia au kuwakamata wanyama wengine. ‘Funo’ ni mnyama anayefanana na paa.

24Jan 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KILIMO ni uti wa mgongo wa taifa na ndiko kwenye ajira nyingi, kutokana na ukweli kwamba ndio shughuli za Watanzania wengi, yakiwamo ya chakula na biashara.

23Jan 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya matatizo yanayowakabili wanafunzi waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza mwaka huu, ni uhaba wa madarasa kwenye shule za sekondari nchini, hali inayosababisha baadhi yao kubanana chumba...

22Jan 2020
Mary Geofrey
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na taasisi zote zilizo chini yake, ipo katika kampeni yake maalum ya kukagua utekelezaji wa miradi yake na mafanikio yaliyopatikana...

Pages