SAFU »

20Dec 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

NINATAKA Mtanzania yeyote aliye mkweli ajitokeze kwamba yuko tayari kufanya safari ya kwenda Mbeya, Mwanza, au Arusha na kufika saa sita usiku au siku ya pili kwa mwendo wa taratibu ambao...

20Dec 2016
Mariam Hassan
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TATIZO la ukeketaji wa wanawake, jambo linalofanywa bila ridhaa yao, ni sugu na athari zake ni mahsusi kwa watoto wa kike.

20Dec 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

MOJA ya changamoto zinazowakabili wanafunzi, hasa wale wanaoishi mjini ikiwamo jiji la Dar es Salaam ni kuachwa kwenye vituo vya usafiri na madereva wa daladala na makondakta, hali inayosababisha...

19Dec 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

KWA sasa kila mmoja analalamika kuwa hana pesa mfukoni. Hakuna zile dili za kimjinimjini.

19Dec 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MECHI za mwishoni mwa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, mshambuliaji Ibrahim Hajib alianza kupoteza nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Simba.

18Dec 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

KATIKA kipindi hiki cha heka heka za sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya, kuna mambo mengi yanaendelea katika jamii ambayo kama yasipochukuliwa tahadhari yanaweza kuleta majanga.

18Dec 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, wiki iliyopita niliuliza maswali yafuatayo kwamba; ni kwanini huwa ni vigumu baadhi ya watu kushindwa kuachana kabisa na wapenzi wao/hawara wa zamani? Nini kinasababisha hali hiyo...

18Dec 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

Leo ni siku ya ibada kwa madhehebu mengi ya Kikristo duniani, kila mtu anajua namna nyumba za ibada na hasa makanisa ya walokole wa Kikristo yalivyozagaa mitaani,

17Dec 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“TAMAA nyingi mbele kiza.” Ukiwa na tamaa nyingi lazima uzingatie kuwa huko mbele unakoenda kuna kiza (giza) totoro!

17Dec 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

HIVI karibuni, vyombo vya habari viliripoti kuwa sirikali ina mpango wa kuhakiki mali za wanene na wazito ili kubaini wangapi walipiga wakaficha kwa majina bandia au ambao ni wa kweli.

16Dec 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

JESHI la la Polisi nchini kwa kushirikiana na wadau mbalimbali limekuwa likiendesha kampeni za kuifanya jamii iweze kutambua umuhimu wa kutii sheria bila shuruti.

16Dec 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

WAKATI tukielekea ukingoni mwa mada hii ya uwekezaji kwenye dhamana za serikali, kama mojawapo ya njia za uhakika za uwekezaji wa fedha za mfanyabiashara wa ngazi yoyote ile, yaani yule wa chini,...

16Dec 2016
Doreen Mafole
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya majukumu ya msingi ya mzazi, ni kumlea mtoto kwa kumpa vyakula vyenye lishe bora, ili awe na afya sahihi na kuepuka kuugua ugonjwa wa utapiamlo.

Pages