SAFU »

24Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MALEZI mara zote ni suala nyeti sana, hasa kwa malezi ya watoto wanaoanza kukua na hii ni pale tu mtoto anapoingia kwenye rika ya ukuaji, jambo linalomfanya kijana na hasa binti apate malezi...

23Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya tabia kubwa ambayo binadamu tunayo, ni kwamba kuna wakati huwa ni wepesi wa kupuuza baadhi ya mambo. Lakini, yakishakuwa makubwa au mazito, ndipo hapo tunaanza kujiuliza nini kilitokea....

22Sep 2021
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UCHAGUZI mdogo wa diwani wa kata ya Ndembezi Manispaa ya Shinyanga, unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao baada ya kifo cha David Nkulila, umeanza kwa vimbwanga vya washiriki wote wa upinzani...

21Sep 2021
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

 
LINAPOZUNGUMZWA suala la kumkomboa mwanamke, elimu ni kigezo muhimu na ndiyo msingi wa maisha ya kila mtu bila kujali ni mwanamke au mwanaume.

18Sep 2021
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NIJAPOSEMA kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao. Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu...

17Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA tathmini ya kawaida, nadiriki kutamka ni jiji la wajasiriamali. Ndivyo ilivyo katika jamii za maeneo mengi kitaifa na hasa mijini, kwani vijijini kwa kiasi kikubwa wakulima wameshika hatamu....

16Sep 2021
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KATIKA kuhakikisha wazee wanapata huduma za afya bila kikwazo, zimekuwa zikifanyika jitihada mbalimbali zikiwamo za kuwapa vitambulisho, ili kuhakikisha kwamba, vinawawezesha kupata huduma hiyo...

15Sep 2021
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya mawaziri watatu watakaokuwa miongoni mwa askari wa miavuli anaotarajia wawe wachapakazi hodari kwenye uongozi wake.

14Sep 2021
Miki Tasseni
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

RAIS Samia Suluhu Hassan, ametangazwa kuwa chifu na mkuu wa machifu wote nchini, akipewa cheo cha Hangaya. Ni jina jipya katika msamiati ila maana yake ni kuwa ni ‘nyota inayong’ara,’ mpangilio wa...

13Sep 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI inaondoka nchini kwenda kucheza michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati Ukanda wa CECAFA, kuwania tiketi ya timu moja itakayouwakilisha ukanda huo kwenye michuano ya Ligi ya...

11Sep 2021
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

CHUKI ni hali ya kutokuwapo upendo, hali ya kuwa na roho mbaya, hali ya kuwa na kinyongo. ‘Chukia’ ni poteza mapenzi, kasirika. ‘Chukiza’ ni kitendo cha mtu kutopenda mtu mwingine au kitu; kitendo...

10Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NIWAPONGEZE wanafunzi darasa la saba wote waliomaliza mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi jana. Ni jambo la heri na hatua katika maisha, wakipumua na kujinasibu ngazi ya umri wa msemo wao wakiwa...

09Sep 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MIAKA inapita sasa, suala la kuvuja picha na video za watu wakiwa faragha mtandaoni limeanza kutawala hata sura ya kuzoeleka sasa.

Pages