SAFU »

ZIARA ya Simba mkoani Kigoma imeibua vitu kadhaa vipya ambavyo mashabiki wengi wa soka hasa wa mikoa mingine nchini hawakuwahi kuviona vikitokea hapa nchini.

MATOKEO ya mtihani wa darasa la saba ambalo ndilo daraja la kumvusha mtoto kutoka elimu ya msingi kwenda sekondari, kwa wanaobahatika kuna maana kubwa, tangu yaanikwe hadharani .

NI juzi tumesikia matokeo ya mtihani ya darasa la saba, mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiibuka kidedea kufanya vizuri kitaifa katika mitihani hiyo.

JUZI Oktoba 14 ilikuwa ni kumbukumbu ya miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati, Julius Kambarage Nyerere aliyefariki dunia Oktoba 14 mwaka 1999, katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas, jijini...
WAKULIMA hasa wadogo nchini ni moja ya kundi linaloonekana kuwa na watetezi wengi.
‘KANZI’ ni hazina kubwa au vitu vya thamani. Kanzi ni kama hazina. Twafunzwa umuhimu wa kazi ambayo ni hazina yetu ya siku za shida au zijazo.

WIKI iliyopita Bodi ya Ligi imevizuia viwanja vinne vya Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi Daraja la Kwanza kutokana na ubovu kwenye sehemu ya kuchezea.

WENGI wetu tunajikuta tuko mbele ya polisi, watu wenye hasira kali au polisi jamii, kama mtuhumiwa umefikia hatua hiyo unaweza kukiri makosa katika kituo cha polisi au viongozi wa serikali za...
“SIHADAIKE na rangi, tamu ya chai ni sukari.” Maana yake usidanganyike na rangi ya chai, utamu wake ni sukari.

UKATILI wa kijinsia umekuwa ukipingwa katika maeneo mbalimbali nchini, kutokana na kukiuka haki za mtu anayefanyiwa ukatili huo.
BIASHARA miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), inatetereka na mambo si mazuri.
MSIMU wa kilimo katika baadhi ya maeneo nchini ambayo hupata mvua za masika kati ya mwezi Oktoba hadi Machi, tayari umeshaanza na wakulima katika hekaheka mbalimbali za uzalishaji katika mashamba...

RUSHWA ya ngono hufanyika kwa siri na baina ya watu wawili kwa anayelazimishwa kutenda hivyo na anayetaka kutenda kwa manufaa yake mwenyewe ili atoe huduma fulani.