SAFU »

OFISI za vijiji zina wajibu wa kutumia fursa walizo nazo katika vijiji ili kutatua changamoto katika maeneo yao.

BUNGE ndilo linalohusika na maamuzi muhimu yahusuyo nchi kuanzia kutunga sheria, bajeti za serikali, sera, mipango na mambo mengine muhimu kwa ajili ya maendeleo ya taifa.

WAZAZI na walezi ni wadau muhimu wa elimu wenye mchango mkubwa wa kuhakikisha watoto wanafanya vizuri katika masomo na mitihani, kwa ajili ya maendeleo yao ya baadaye.

NI ukweli usipingika kabisa kuwa uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, kuruhusu michezo kuendelea wakati nchi zingine zikiwa zimejifungia ndani kutokana na janga la...

ENZI za mwishoni mwa ukoloni Tanganyika, tuliokuwa tunasikia na kuelewa na hata tukisikiliza redio za Rising na Phillips, tulizoea kumsikia Mwalimu Julius Nyerere akiita au kuwatambulisha Bwana...

KATIKA kufunga mwaka 2020, vyombo vya habari viliripoti kisa funga mwaka ambapo Watanzania wawili walipatikana na hatia ya kujaribu kutorosha almasi zenye uzito wa karati 71,654 zenye thamani ya...
NDUGU huwa kama chungu lakini jirani ni kama mkungu, yaani mfuniko wa chungu unaotengenezwa kwa udongo. Methali hii hutumiwa kutukumbusha ndugu huwa na uhusiano wa karibu sana kuliko mtu na...
KILIMO kina maana pana inayojumuisha mifumo ya uzalishaji mimea, ufugaji wa wanyama na uvuvi wa samaki.

MTINDO wa kufanya uamuzi kujinunulia dawa na kisha kutumia kwa mtazamo binafsi usio na stadi za utabibu, au kupata dawa kutoka kwa asiye na taaluma hiyo, kwa maana bila ya ushauri wa daktari,...

KIPAJI ni uwezo wa kipekee mtu anachozaliwa nacho yakiwa ni maarifa ya kufanya jambo fulani kwa maarifa na ubunifu wa hali ya juu bila kufundishwa au baada ya kufundishwa kidogo na kinaweza kuwa...
WIKI iliyopita Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile, alitoa miezi mitatu kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kutatua tatizo la vifurushi na bando kwenye...

UKIWA mtanange wa machozi, jasho na damu keshokutwa, Jumatano wakati wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba watakapomenyana na FC Platinum ya Zimbabwe kwenye...

MUUZA jeneza siku zote huchukia kifo, lakini hukasirika majeneza yake yasipopata soko.