SAFU »

24Jan 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KILIMO ni uti wa mgongo wa taifa na ndiko kwenye ajira nyingi, kutokana na ukweli kwamba ndio shughuli za Watanzania wengi, yakiwamo ya chakula na biashara.

23Jan 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya matatizo yanayowakabili wanafunzi waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza mwaka huu, ni uhaba wa madarasa kwenye shule za sekondari nchini, hali inayosababisha baadhi yao kubanana chumba...

22Jan 2020
Mary Geofrey
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na taasisi zote zilizo chini yake, ipo katika kampeni yake maalum ya kukagua utekelezaji wa miradi yake na mafanikio yaliyopatikana...

21Jan 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya matatizo yanayowakabili wanafunzi waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza mwaka huu, ni uhaba wa madarasa kwenye shule za sekondari nchini, hali inayosababisha baadhi yao kubanana chumba...

20Jan 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KIPIGO cha bao 1-0 ilichokipata Yanga dhidi ya Azam FC kimeleta mambo na maneno mengi kutoka kwa wanachama na mashabiki wa Yanga. Ni sawa tu na msiba wa 'mswahili' ambao siku zote haukosi sababu...

18Jan 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NAAM, “Tamba uone kama hukutamba huna uonacho.” Maana yake zunguka ulimwenguni ujionee mambo usiyoyajua. Hutumiwa kuwahimiza watu wetembee na kujikusanyia maarifa wasiishie kudhani wanayajua yote...

17Jan 2020
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWENYE maeneo mengi nchini kwa sasa wananchi wanahangaika kupata namba za vitambulisho vya Taifa ili waweze kusajili laini zao kabla ya Januari 20, mwaka huu.

16Jan 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA mambo matano, yanay- otajwa na wataalamu wa afya kwamba ni miongoni mwa dalili zinazoonyesha kuwa mtu hanywi maji ya kutosha, ambayo ni kupungua kwa kiwango cha mkojo na ngozi kuwa kavu sana...

15Jan 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TANZANIA inatarajia kufanya uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais mwishoni mwa mwaka huu. Watakaofanikiwa, watashika nyadhifa katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

13Jan 2020
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

"HAYA ni mashindano ambayo tulikuwa makini na wachezaji wetu wasipate majeraha, ili tukirudi kule kwenye ligi tuwe na nguvu zaidi." Ni baadhi ya maneno ya Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, Antonio...

11Jan 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NAPENDA sana methali tulizoachiwa na wahenga wetu. Kila nisomapo hutafakari sana jinsi walivyojaaliwa hekima na Mwenyezi Mungu. Yote waliyosema enzi zao ndio yatokeayo sasa.

10Jan 2020
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAANA ya usugu kwa antibaiotiki inaelezwa na wataalamu wa afya, ni hali ya vimelea vya magonjwa kutokufa kwa dawa iliyothibitika na inayotumika kuua vimelea hivyo.

09Jan 2020
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JUZI katika safu hii, nilikuwa na hoja kuhusu hali inayojenga msuguano usio na msingi kati ya askari wa usalama barabarani na waendeshaji vyombo vya moto barabarani, jijini Dar es Salama. Leo pia...

Pages