SAFU »

08Jan 2020
Beatrice Moses
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TUMEINGIA mwaka mpya 2020, shule zimefunguliwa wiki hii. Wanafunzi wengi wakiwamo wa bweni, wameanza kurejea masomoni.

07Jan 2020
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HAKUNA ubishi kuwa kwa sasa barabarani, hasa jijini Dar es Salaam, kuna nidhani kubwa kwa madereva kuheshimu alama za barabarani na watembea kwa miguu.

04Jan 2020
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“LIANDIKWALO ndilo liwalo.” Jambo lililoandikwa na Mungu ndilo linalokuwa. Yaani jambo ajaliwalo mtu ndilo limjialo, liwe baya au zuri.

03Jan 2020
Beatrice Moses
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MPANGO wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF), unaotekelezwa chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii, unatajwa unalenga kuzifikia jumla ya kaya milioni 1.2, ambazo ni wastani wa watu milioni sita wanaoishi...

02Jan 2020
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI msimu wa mvua ambao mikoa mbalimbali nchini, zinanyesha na kusababisha aina mbalimbali ya mafuriko, japo sura ya pili ina neema zake. Sote tunajua ‘maji ni uhai.’

01Jan 2020
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA mengi ambayo serikali ya awamu ya tano inazidi kujijengea uhalali kwenye suala zima la utatuzi wa changamoto mbalimbali zinazokabili wananchi katika suala zima la kujenga ustawi na maendeleo...

31Dec 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KILA mwaka idadi ya wanafunzi wanaomaliza darasa la saba kwa ajili ya kujiunga na kidato cha kwanza inafahamika, lakini kila Desemba na Januari huwa kuna changamoto ya ukosefu wa vyumba vya...

31Dec 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KILA mwaka idadi ya wanafunzi wanaomaliza darasa la saba kwa ajili ya kujiunga na kidato cha kwanza inafahamika, lakini kila Desemba na Januari huwa kuna changamoto ya ukosefu wa vyumba vya...

30Dec 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

GUMZO kubwa lililowaacha watu hoi wiki iliyopita ni Uwanja wa Sokoine Mbeya kutumiwa kwenye tamasha la muziki, kiasi cha kushindwa kuchezwa kwa mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Prisons...

28Dec 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UMBEA/umbeya ni tabia ya kutoa habari bila kutumwa au kuulizwa; udaku udakuzi; tabia ya kufuatilia au kusikiliza habari za watu wengine bila kutumwa.

27Dec 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KILIMO cha kutumia jembe la mkono na kinachotegemea mvua za msimu ndicho kinachotumiwa na wakulima nchini na kwa namna moja au nyingine, kinachangia kukwamisha maendeleo yao.

26Dec 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADHI ya wafanyabiashara wadogo wa Kimara Mwisho, Dar es Salaam wako katika hatari kutokana na kufanya shughuli zao, chini ya nyaya kubwa za umeme wakati wa usiku.

25Dec 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LIKIZO aliyoifanya Muungwana hivi karibuni katika mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Maswa, imezidi kumfumbua macho zaidi juu ya changamoto ambazo bado wakulima na hasa wadogo wanakumbana nazo.

Pages