MAONI YA MHARIRI »
SERIKALI ya Mkoa wa Kagera, imefikia uamuzi wa kumsimamisha kazi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kakanja ya mjini Bukoba,...
SHIRIKA la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) katika mradi wa Tuhifadhi Maliasili imetenga dola za kimarekani milioni 37.5 kwa ajili ya...
KUNA baadhi ya viongozi ambao wamejiwekea utaratibu wa kukutana na wananchi ili kusikiliza kero zao na kuzitafutia ufumbuzi.
KUMEKUWA na mjadala mkubwa kutoka kwa mashabiki wa soka nchini hususan wa Simba wakipinga na kumwona Kocha Mkuu mpya wa klabu hiyo, Robertinho...
DIRISHA dogo la usajili wa wachezaji wanaoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Championship, First League, Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania...
BAADA ya kutokea kwa matukio ya unyanyasaji unaodaiwa kufanywa na makonda na madereva kwa wanafunzi wanaosoma shule zinazotoa usafiri wa mabasi,...
JUZI Chama cha Waongoza Watalii nchini (TATO), kiliiomba serikali kuondoa mkanganyiko wa ukusanyaji wa tozo na kodi katika sekta ya utalii ili...
WAKATI wanafunzi wakirudi masomoni baada ya shule kufunguliwa ni muhimu maagizo yaliyotolewa na viongozi wa nchi na vyombo vya ulinzi yakafuatwa...
WAAMUZI ni sehemu muhimu kwenye mchezo hasa kutokana na kusimamia sheria 17 za mpira wa miguu ambao unafuatiliwa na watu wengi zaidi duniani,...
MATUSI kujiri katika matokeo ya mitihani ya kidato cha pili na darasa la nne yaliyotangazwa jana ni ishara kuwa baadhi ya wanafunzi wamekosa...