MAONI YA MHARIRI »

06Sep 2019
Nipashe

UKAIDI unaofanywa na waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda, ni kero kwa wananchi wengi kwa sababu unawasababishia usumbufu, zikiwamo ajali...

05Sep 2019
Nipashe

HARAKATI za kupigania haki za wanawake na watoto na makundi mengine kama watu wanye ulemavu ni endelevu nchini na duaniani kwa ujumla.

04Sep 2019
Nipashe

KUUNGUA kwa basi la mwendo kasi juzi jijini Dar es Salaam kumeongeza hofu ya usalama ndani ya vyombo vya usafiri vya umma.

03Sep 2019
Nipashe

SUALA la njaa na ukosefu wa uhakika wa chakula ni tatizo linalowapasua vichwa watu wengi lakini pia ni usumbufu kwa serikali.

02Sep 2019
Nipashe

TIMU ya Tanzania, 'Taifa Stars' keshokutwa itashuka dimbani nchini Burundi kumenyana na wenyeji wao hao kwenye mechi ya kuwania kufuzu fainali za...

31Aug 2019
Nipashe

HATIMAYE Tanzania Bara imebakiwa na timu mbili tu kwenye michuano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya...

30Aug 2019
Nipashe

KATIKA siku za hivi karibuni kumekuwapo na mijadala mbalimbali inayohusisha umuhimu wa kuwapo kwa utaratibu wa kutumika kwa bima ya afya kwenye...

29Aug 2019
Nipashe

KATIKA gazeti letu la jana, tuliandika habari yenye ujumbe wa Waziri kumpa Mkuu wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, jukumu la kuwacharaza viboko...

28Aug 2019
Nipashe

MAMBO mengine yamekuwa yakishangaza na kustua, lakini hili la mtoto visiwani Zanzibar kubwia mihadarati na kulazwa hospitalini Mnazi Mmoja kwa...

27Aug 2019
Nipashe

KILA la kheri Tanzania na Burundi kwa kuafikiana kurejesha wakimbizi 2,000 kila wiki nchini kwao kuanzia Oktoba mwaka huu, jambo ambalo...

Pages