MAONI YA MHARIRI »

03Jun 2016
Nipashe

JESHI la Polisi Mkoa wa kipolisi wa Kinondoni, mkoani Dar es Salaam limesema kwamba limeandaa mpango maalum utakaotumika kutunza kumbukumbu za...

02Jun 2016
Nipashe

WAWEKEZAJI wa ndani wamepewa habari njema, kwamba chini ya Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais Dk. John Magufuli watapewa upendeleo mkubwa kiasi...

01Jun 2016
Lete Raha

HATIMAYE kwa mara ya kwanza katika historia ya soka ya Tanzania, msimu ujao kutakuwa na Ligi Kuu ya wanawake.

01Jun 2016
Nipashe

KWA muda mrefu, imekuwa ikiibuka migongano baina ya baadhi ya Wabunge hususani wa Upinzani na Kiti cha Spika, wakati vikao vikiendelea.

31May 2016
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana tulichapisha habari kuhusiana na kasi ya matukio ya mauaji ya watu kwa kukatwakatwa kwa mapanga na kuchinjwa katika...

30May 2016
Nipashe

LIGI kuu Tanzania bara imemalizika hivi karibuni na kushuhudia Yanga ikitwaa ubingwa.

29May 2016
Nipashe Jumapili

ZIPO taarifa kuwa Shirika la Umeme (Tanesco), limefanikiwa kupunguza wizi wa nishati hiyo kwa asilimia sita katika miaka sita iliyopita.

28May 2016
Nipashe

MSIMU huu ni timu pekee iliyofanya vizuri zaidi katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati, imefanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania...

27May 2016
Nipashe

MOJA ya changamoto ambazo zinazoikabili nchi yetu kwa sasa ni kushuka kwa kiwango cha elimu.

26May 2016
Nipashe

TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imesema kuwa kwa siku mbili inatarajia kuokoa Sh. milioni 180, baada ya kufanya upasuaji mkubwa wa moyo...

Pages