MAONI YA MHARIRI »

01Aug 2019
Nipashe

MAPEMA wiki hii serikali ilitoa taarifa ya kuwapo kwa baadhi ya watu wanaofanya biashara ya kusafirisha binadamu kwa kuchukua watoto wenye ulemavu...

30Jul 2019
Nipashe

ONGEZEKO la idadi ya watalii wanaoingia nchini kama ilivyotangazwa na serikali ni habari njema kutokana na kuongezeka kwa pato la ndani la taifa...

29Jul 2019
Nipashe

ZIKIWA zimebakia siku 25 kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa 2019/20 ili Ligi Kuu Tanzania Bara iweze kuanza, kumekuwa na mijadala mbalimbali...

27Jul 2019
Nipashe

KUMALIZIKA kwa safari moja, ndio mwanzo wa safari nyingine. Hayo ndiyo maisha ya soka yalivyo.

26Jul 2019
Nipashe

DUNIA ya leo usafi ni jambo linalohitajiwa na kila mtu, aidha pamoja na sababu za kimazingira na kiafya  usafi ni njia moja wapo ya kuvutia...

24Jul 2019
Nipashe

MOJAWAPO ya rasilimali muhimu dunia kwa sasa ni bahari, ambayo Watanzania wengi waliamini kuwa bahari ni sehemu ya kuvua samaki na kwa ujumla...

23Jul 2019
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana, tulichapisha habari iliyoeleza kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula, ameagiza...

22Jul 2019
Nipashe

KLABU ya Simba imeripotiwa kwamba inapanga kumpeleka mwanachama wa timu hiyo, Hamis Kilomoni kwenye Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka...

18Jul 2019
Nipashe

KWA muda mrefu vyama vya siasa nchini vimekuwa vikilalamikia mikutano yao ya ndani kuzuiwa na Jeshi la Polisi.

17Jul 2019
Nipashe

TAARIFA kwamba Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imeanza kuendesha programu za elimu kuhusu uombaji wa mikopo kwa wanafunzi...

Pages