MAONI YA MHARIRI »

16Jul 2019
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Everist Ndikilo, amewaka wakurugenzi na wakuu wa idara katika wilaya za mkoa huo kuacha tabia ya kuwakaimisha watumishi...

15Jul 2019
Nipashe

WAKATI tayari Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), likiwa limeshatangaza kuwa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara utafanyika kuanzia Agosti 23, mwaka huu,...

06Jul 2019
Nipashe

SOKA ni moja ya mchezo ambao unachezwa kwa kalenda inayozunguka, ambapo wadau na familia ya mchezo huo unaopendwa zaidi duniani huita msimu.

05Jul 2019
Nipashe

MARA nyingi kuna tabia ya jamii kubweteka na kuacha kuchukua tahadhari pale tatizo linalowakabili linapopungua au kwisha kabisa.

04Jul 2019
Nipashe

SASA ni zaidi ya miaka 22 tangu Serikali ilipofanya tathmini ya kuwahamisha wakazi wa eneo la Kipunguni kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa...

03Jul 2019
Nipashe

TANZANIA inaendelea kutegemea kilimo katika maendeleo ya uchumi wake. Sekta ya kilimo imekuwa tegemezi kutokana na kuongoza katika kuchangia...

02Jul 2019
Nipashe

MARA kadhaa baadhi ya watu wamekuwa wanaeleza umuhimu wa Watanzania wanaoishi ughaibuni maarufu kama Diaspora katika maendeleo ya nchi.

29Jun 2019
Nipashe

TIMU ya Taifa ya Soka ya Tanzania, 'Taifa Stars' imeendelea kufanya vibaya kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon) 2019 nchini Misri, baada...

28Jun 2019
Nipashe

MAENEO mengi ya stendi za mabasi yaendayo mikoani na maeneo mengine yamekuwa yakisababisha usumbufu mkubwa kwa abiria.

25Jun 2019
Nipashe

TANGU Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola, ateuliwe kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, amekuwa akitoa maagizo mbalimbali kwa Jeshi la Polisi,...

Pages