MAONI YA MHARIRI »

24Jun 2019
Nipashe

JUMAPILI wiki hii Juni 30, ndiyo siku ambayo klabu zinazowakilisha nchi zao kwenye michuano ya kimataifa, Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho...

22Jun 2019
Nipashe

BAADA ya jana mashabiki wa soka kushuhudia fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2019 zikifunguliwa kwa wenyeji, Misri kuvaana na Zimbabwe, kesho...

21Jun 2019
Nipashe

MAANDALIZI ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Oktoba mwaka huu na Uchaguzi Mkuu mwakani, yameanza baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuanza...

20Jun 2019
Nipashe

BUNGE limeambiwa kwa kina jinsi ambavyo Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam lilivyo taabani, likihesabu siku za  kuishi kutokana na kukimbiwa na...

19Jun 2019
Nipashe

USAFIRI wa abiria na mizigo kupitia majini umekuwa changamoto kwa wananchi wa maeneo kadhaa nchini, kutokana na kukosa vyombo vya uhakika hususani...

18Jun 2019
Nipashe

TAKWIMU za karibuni kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC),  zinaonyesha kuwa ubakaji na unyanyasaji watoto nchini unatisha.

17Jun 2019
Nipashe

TAYARI tumeshuhudia timu zilizoshuka kutoka Ligi Kuu Bara hadi Ligi Daraja la Kwanza kufuatia msimu wa 2018/19 kumalizika tangu Mei 28, mwaka huu...

15Jun 2019
Nipashe

WAKATI zikiwa zimebakia siku sita ili kuanza kwa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2019) huko Misri, tayari Tanzania imeanza maandalizi...

13Jun 2019
Nipashe

MAKADIRIO ya bajeti ya serikali kwa mwaka ujao wa fedha yanatarajiwa kuwasilishwa bungeni jijini Dodoma baadaye leo jioni.

12Jun 2019
Nipashe

KESHO Watanzania wanangoja kwa hamu kusikia bajeti yao ambayo ni andiko la serikali linaloonyesha na kuainisha maamuzi ya vipaumbele vya maendeleo...

Pages