MAONI YA MHARIRI »

27Apr 2018
Nipashe

RAIS John Magufuli jana aliwatangazia neema wakazi wa Manispaa ya Dodoma, kwa kuipa manispaa hiyo hadhi ya kuwa jiji.

26Apr 2018
Nipashe

NAOMBA nitoe maoni yangu kuhu- siana na tabia inayokera kutoka kwa baadhi ya watu wasio na tabia nzuri, huko njiani ambako sisi madereva wa malori...

24Apr 2018
Nipashe

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) wiki iliyopita kilishindwa kufanya uchaguzi wake kujaza nafasi kadhaa zilizoko wazi.

23Apr 2018
Nipashe

TAYARI wawakilishi wa  Tanzania kwenye michuano ya kimataifa, Yanga, imefahamu wapinzani wake baada ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kutangaza...

22Apr 2018
Nipashe Jumapili

MIKUTANO ya Majira ya Kipupwe inayoendelea Washington DC, Marekani imeleta nuru baada ya Benki ya Dunia kuahidi kuisaidia nchi katika miradi...

21Apr 2018
Nipashe

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa, kombe la Shirikisho barani Afrika, Yanga, wamerejea nchini juzi usiku wakitokea Ethiopia...

20Apr 2018
Nipashe

UWEKEZAJI ni miongoni mwa mambo ambayo yanaliwezesha taifa kukuza uchumi wake.

19Apr 2018
Nipashe

KUMEKUWAPO na ongezeko la nafasi za masomo katika vyuo vya elimu ya juu nchini kila mwaka, hivyo kusababisha mahitaji ya mikopo kuongezeka pia....

18Apr 2018
Nipashe

SERIKALI imetangaza neema katika utumishi wa umma, baada ya  kueleza kuwa inatarajia kuajiri watumishi wapya 49,356 katika mwaka ujao wa fedha...

17Apr 2018
Nipashe

MVUA za masika zinazoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam, zimesababisha athari kadhaa, vikiwamo vifo.

Pages