MAONI YA MHARIRI »

24Mar 2018
Nipashe

JUZI timu ya soka ya Tanzania maarufu Taifa Stars ilikuwa na mechi ya kirafiki dhidi ya Algeria ambayo ilimalizika kwa kupokea kichapo cha mabao 4...

23Mar 2018
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana tulishapisha habari kuhusu maelekezo ya Mahakama ya Tanzani kwa mahakimu wapya kutekeleza majukumu yao ya kutoa haki kwa...

22Mar 2018
Nipashe

SHUGHULI zote za maendeleo zinahitaji kuwezeshwa kifedha ili zisonge mbele na kuwanufaisha walengwa.

21Mar 2018
Nipashe

MKUTANO wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), uliofanyika juzi Ikulu jijini Dar es Salaam chini ya uenyekiti wa Rais John Magufuli, ni moja...

20Mar 2018
Nipashe

RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa, amekosoa mfumo wa elimu nchini, akisema unatakiwa kuitishwa mjadala wa wazi wa kitaifa kwa ajili ya kutafakari hali...

19Mar 2018
Nipashe

WAWAKILISHI wa Tanzaniakwenye michuano ya kimataifa, Kombe la shirikisho Afrika na ligi ya mabingwa, Simba na Yanga zimetupwa nje kwenye michuano...

17Mar 2018
Nipashe

WAWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho, Yanga na Simba watashuka dimbani leo kwa...

16Mar 2018
Nipashe

KULIPA kodi ni wajibu wa kila raia katika kila nchi. ni jambo lililoanza miaka mingi pia limeandikwa katika vitabu vitukufu.

15Mar 2018
Nipashe

MVUA zilizothibitishwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuwa ni za masika, ambazo zimeanza kunyesha nchini, zimesababisha madhara kadhaa...

14Mar 2018
Nipashe

MIRADI kadhaa mikubwa ambayo itaanza kutekelezwa nchini inaelezwa kuwa italeta neema kwa maelfu ya wananchi kutokana na kutoa ajira za moja kwa...

Pages