MAONI YA MHARIRI »

26Feb 2020
Nipashe

SERIKALI imesema kuanzia sasa hakuna dalali atakayeendesha shughuli hizo bila kuwa kujisajili na kuwa na leseni.

25Feb 2020
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana tuliripoti habari kwamba wakazi wa Kijiji cha Lipumburu, Kata ya Lipumburu, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, wamekata na...

24Feb 2020
Nipashe

TAYARI kipenga cha Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), kimepulizwa baada ya makundi ya michuano hiyo kupangwa.

22Feb 2020
Nipashe

WIKI hii Ligi Kuu Bara inaingia raundi ya 23 kwa viwanja 10 nchini kuwaka moto wakati timu zote 20 zitakaposhuka dimbani leo na kesho kuwania...

21Feb 2020
Nipashe

MWENYEKITI wa NCCR - Mageuzi James Mbatia, katika hotuba yake ya ufunguzi wa moja ya mikutano ya chama chake, anakumbusha umuhimu wa kuchunga...

19Feb 2020
Nipashe

UCHUNGUZI uliofanywa na Nipashe katika shule za msingi, wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani, umebaini kuwapo kwa shida kubwa ya wanafunzi kulawitiana...

18Feb 2020
Nipashe

WAKAZI wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani wamepewa fursa ya kujiandikisha pamoja na kurekebisha taarifa zao katika daftari la kudumu la wapigakura...

17Feb 2020
Nipashe

MWISHONI mwa wiki kwa mara nyingine tena Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, aliibua hoja ya kupunguzwa kwa...

15Feb 2020
Nipashe

KWA mara nyingine tena Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Februari 10, mwaka huo...

14Feb 2020
Nipashe

SERIKALI imeombwa kutenga fedha kwa ajili ya kamati za Maadili za Maofisa wa Mahakama za Mikoa na Wilaya ili ziweze kutekeleza majukumu yake kama...

Pages