MAONI YA MHARIRI »

27Jul 2016
Nipashe

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetangaza kufungua ofisi za kanda katika mikoa ya Arusha, Mwanza na Mbeya, zikiwa ni jitihada za kuongeza...

26Jul 2016
Nipashe

SERIKALI ya Awamu ya Tano imeonyesha dhamira ya dhati ya utekelezaji kwa vitendo wa ahadi ya miaka mingi ya kuhamisha makao ya Serikali kutoka Dar...

25Jul 2016
Nipashe

INAWEZEKANA wapo waliokata tamaa na mustakabali wa mabingwa wa soka nchini, Yanga SC kwenye mashindano ya kombe la Shirikisho Afrika (CAF)...

24Jul 2016
Lete Raha

KOCHA Mkuu wa Tanzania, ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa kesho kutwa Jumanne amepanga kutaja kikosi kwa ajili ya kambi ya awali ya wiki moja...

24Jul 2016
Nipashe Jumapili

HATIMAYE Rais John Magufuli, alichaguliwa kwa kura zote kushika nafasi ya uenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ili kukitumikia chama hicho tawala...

23Jul 2016
Nipashe

MAPEMA wiki hii, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilitoa ratiba ya msimu mpya wa michuano ya Ligi Kuu Bara.
Kwa mujibu wa shirikisho hilo...

22Jul 2016
Nipashe

IMEBAINIKA kuwa vitendo vya ajira mbaya nchini bado ni tatizo kubwa dhidi ya watoto nchini, kutokana na kutumikishwa katika shughuli hatarishi....

21Jul 2016
Nipashe

SERIKALI imesema kuwa imegundua madudu ya kutisha ya ufisadi wa mikopo ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini, huku zaidi ya wanafunzi hewa...

20Jul 2016
Nipashe

SERIKALI imebadili mfumo wa kupata majaji ya Mahakama Kuu ya Tanzania na kuanzia sasa ajira yao itakuwa inashindanishwa katika hatua ya awali,...

19Jul 2016
Nipashe

JANA maadhimisho ya sita ya Wiki ya Maji barani Afrika yalifunguliwa rasmi jijini Dar es Salaam, sambamba na Mkutano wa 10 wa Baraza la Mawaziri...

Pages