MAONI YA MHARIRI »

07Jul 2016
Nipashe

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itanya ukaguzi wa nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa kuwakagua wafanyabaishara kama wanatumia mashine za...

06Jul 2016
Nipashe

JUZI ilitokea ajali mbaya ya barabarani iliyoua watu 29 na kuwajeruhi wengine kadhaa katika kijiji cha Maweni, wilayani Manyoni Mkoa wa Singida....

05Jul 2016
Nipashe

SERIKALI imewalaumu baadhi ya maofisa ushirika, taasisi za fedha, viongozi wa vyama vya ushirika na watendaji wao kwa kushirikiana kuwaibia...

04Jul 2016
Nipashe

SERENGETI Boys - Timu ya Taifa ya Vijana, imeonyesha mwanga mzuri unaopaswa kuendelezwa ili kufufua matumaini ya Tanzania kufanya vizuri kwenye...

03Jul 2016
Nipashe Jumapili

TANZANIA kwa siku mbili ilikuwa na ugeni wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, ambaye alikuwa nchini kwa ziara ya siku mbili.

02Jul 2016
Nipashe

KWA mara nyingine timu ya soka ya vijana ya Taifa ya umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) leo inatarajia kushuka dimbani kuwavaa wenyeji...

01Jul 2016
Nipashe

UTEKELEZAJI wa bajeti ya Serikali kwa mwaka huu wa fedha 2016/17 unaanza leo. Utekelezaji huo utasababisha bei na gharama za baadhi ya bidhaa na...

30Jun 2016
Nipashe

KUNA taarifa njema na za kutia matumaini kwa Watanzania, kwamba kiasi kikubwa cha gesi aina ya Helium imegundulika nchini.

29Jun 2016
Nipashe

VYOMBO vya dola kupitia Jukwaa la Haki Jinai, vilikutana kwa siku mbili mjini Dodoma juzi na jana kwa ajili ya kupanga mikakati ya kuanzisha...

28Jun 2016
Nipashe

RAIS John Magufuli juzi alitangaza uteuzi wa wakuu wapya wa wilaya 139.

Pages