MAONI YA MHARIRI »

29Dec 2016
Nipashe

SERIKALI imesema kwamba haitavumilia kuona idadi kubwa ya wanafunzi waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka huu na kuchaguliwa kuingia kidato...

28Dec 2016
Nipashe

MIGOGORO ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji inaendelea kushika kasi katika maeneo mbalimbali nchini.

27Dec 2016
Nipashe

MIONGONI mwa mambo yaliyohimizwa sana na viongozi wengi wa dini juzi wakati wa mahubiri ya sikukuu ya Krismasi ikiwa ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa...

26Dec 2016
Nipashe

WIKI iliyopita, Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) lilitoa ratiba ya mechi za Klabu Bingwa Afrika na ya Kombe la Shirikisho Afrika.
...

25Dec 2016
Nipashe Jumapili

LEO ni Krismasi. Wakristo nchini wanaungana na wenzao duniani kote kusherehekea sikukuu hii, ambayo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mwokozi Yesu...

23Dec 2016
Nipashe

JUZI na jana vyombo vya habari nchini viliripoti taarifa ya kushangaza ya kukamatwa kwa mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha ITV...

22Dec 2016
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana tulichapisha habari iliyoeleza uwapo wa watu ‘wanaowaliza’ madereva kwa kuwatoza fedha barabarani huku wakijifanya kuwa...

21Dec 2016
Nipashe

PAMOJA na elimu kutolewa kwa wananchi mara kwa mara kuhusiana na kutojichukulia sheria mkononi, wananchi katika maeneo mengi nchini wanaendelea...

20Dec 2016
Nipashe

ZIARA ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, mkoani Arusha imebainisha kitu ambacho viongozi wetu wa umma hawanabudi kujifunza.

19Dec 2016
Nipashe

MUZIKI, filamu ni moja ya tasnia ambazo zinawapa nafasi kubwa vijana kujiajiri.

Pages