MAONI YA MHARIRI »

14Jun 2016
Nipashe

JANA kilikuwa kilele cha maadhimisho ya siku ya watu wenye Albinism (ulemavu wa ngozi). Kabla ya kilele hicho zilifanyika shughuli mbalimbali,...

13Jun 2016
Nipashe

YANGA wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, wako nchini Uturuki kujiandaa na mashindano hayo hatua ya makundi....

12Jun 2016
Lete Raha

TIMU ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys inatarajiwa kuingia kambini kesho kujiandaa na mchezo wa kufuzu kuwania kucheza Fainali...

12Jun 2016
Nipashe Jumapili

Wabunge wanaoiwakilisha Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki wameomba kununuliwa magari na kujengewa ofisi ili kufanikisha majukumu yao kwa...

11Jun 2016
Nipashe

KLABU ya Yanga ya jijini Dar es Salaam inatarajia kufanya uchaguzi mkuu wake leo ambao utawaweka madarakani viongozi wapya kwa muda wa miaka minne...

10Jun 2016
Nipashe

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, juzi alisoma bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2016/17, ambayo ni ya Sh trilioni 29.54.

09Jun 2016
Nipashe

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, jana alisoma bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2016/17 bungeni jana, ambayo pamoja na mambo...

08Jun 2016
Nipashe

WAZIRI wa Fedha, Uchumi na Mipango, Dk Phillip Mpango, leo anasoma Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/17 mbele ya Bunge la Jamhuri ya...

07Jun 2016
Nipashe

KUNA taarifa za kustusha kuhusiana na kasi ya uharibifu wa mazingira, hasa katika maeneo yaliyo pembezoni mwa vyanzo vya maji.

06Jun 2016
Nipashe

TANZANIA haitakuwa miongoni mwa mataifa yatakayoshiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazochezwa mwakani nchini Gabon.

Pages