MAONI YA MHARIRI »

30May 2016
Nipashe

LIGI kuu Tanzania bara imemalizika hivi karibuni na kushuhudia Yanga ikitwaa ubingwa.

29May 2016
Nipashe Jumapili

ZIPO taarifa kuwa Shirika la Umeme (Tanesco), limefanikiwa kupunguza wizi wa nishati hiyo kwa asilimia sita katika miaka sita iliyopita.

28May 2016
Nipashe

MSIMU huu ni timu pekee iliyofanya vizuri zaidi katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati, imefanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania...

27May 2016
Nipashe

MOJA ya changamoto ambazo zinazoikabili nchi yetu kwa sasa ni kushuka kwa kiwango cha elimu.

26May 2016
Nipashe

TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imesema kuwa kwa siku mbili inatarajia kuokoa Sh. milioni 180, baada ya kufanya upasuaji mkubwa wa moyo...

25May 2016
Nipashe

MATUKIO ya vitendo mbalimbali vya uhalifu yakiwamo mauaji yameendelea kushamiri katika Mkoa wa Mwanza kwa miaka kadhaa sasa.

24May 2016
Nipashe

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amedokeza jinsi Wabunge wachache wanavyofanya vitendo ambavyo vinautia doa na kuuchafua mhimili wa Bunge, ambao ndicho...

23May 2016
Nipashe

LIGI Kuu Bara imefikia tamati jana kwa timu zote kushuka dimbani baada ya kuchezwa takribani kwa miezi minane. Tunachukua nafasi hii kuipongeza...

22May 2016
Nipashe Jumapili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli aliendeleza kasi yake ya kudhihirisha uwajibikaji wa vitenbdo miongoni mwa viongozi wa...

21May 2016
Nipashe

KIKOSI cha Yanga kimerejea nchini jana mchana kikitokea Angola huku wawakilishi hao wa taifa kwenye michuano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu...

Pages