MAONI YA MHARIRI »

11May 2016
Lete Raha

WACHEZAJI saba wa Simba wakiwamo sita wa kigeni juzi waligoma kusafiri kwenda Songea mkoani Ruvuma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom...

10May 2016
Nipashe

KUNA tarifa kwamba Serikali inakusudia kupeleka muswada wa sheria bungeni wakati wowote ambao unapendekeza kutengenisha siasa na biashara.

09May 2016
Lete Raha

WIKI hii Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeipokonya pointi tatu na mabao matatu Azam FC ya Dar es Salaam ilizovuna katika mchezo wa Ligi Kuu...

09May 2016
Nipashe

KWANZA tungependa kuwapongeza wawakilishi wa nchi katika mashindanio ya Kombe la Shirikisho, Yanga kwa kupiga hatua moja kuelekea kucheza hatua ya...

08May 2016
Nipashe Jumapili

TANGU serikali ilipotangaza kudhibiti uingizwaji wa sukari toka nje mwanzoni mwa mwaka huu, ghafla kumejitokeza upungufu mkubwa wa bidhaa hiyo na...

07May 2016
Nipashe

LIGI Kuu Bara inakwenda kwenye hatua za lala salama. Tayari baadhi ya timu zitakazoshuka daraja na zile zitakazobaki msimu ujao zimeshaonekana....

06May 2016
Nipashe

JUZI na jana tulichapisha habari ndefu iliyotokana na uchunguzi wa muda mrefu kuhusiana na viwanja vingi vya soka kutokuwa na usalama kwa watu...

05May 2016
Nipashe

KUNA matukio ambayo yamekuwa yakitokea mfululizo katika hospitali za umma, ya wauguzi kuwafanyia wagonjwa vitendo vya kinyama na kuwasababishia...

04May 2016
Lete Raha

WAKATI anaingia madarakani, rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, alionekana kuwa na dhamira ya kweli ya kutilia mkazo...

04May 2016
Nipashe

JANA Tanzania iliungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Habari Duniani.

Pages