MAONI YA MHARIRI »

23Dec 2019
Nipashe

MKUTANO Mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), umefanyika mwishoni mwa wiki na moja ya ajenda ya mkutano huo ilikuwa ni kubadilisha...

21Dec 2019
Nipashe

KWA sasa klabu za Tanzania zipo katika harakati za kuimarisha vikosi vyao, baada ya usajili wa dirisha dogo kufunguliwa rasmi kwa Tanzania Bara na...

20Dec 2019
Nipashe

UNYANYASAJI kijinsia unaohusisha kutelekeza familia, vipigo, watoto kuozwa, kupewa mimba na kugeuzwa kuwa wakazi wa mitaani ni jambo lililoibuka...

19Dec 2019
Nipashe

MAENEO mengi ya Dar es Salaam yapo kwenye hatari ya kuzama kwenye mafuriko na kila mara serikali imekuwa ikipiga mbiu ya kuwahimiza wananchi...

18Dec 2019
Nipashe

HUU ni msimu wa sikukuu ambao kama taifa tunalazimika kuchukua tahadhari zote kuwaepusha wananchi na ajali zinazosababisha vifo, uharibifu wa mali...

17Dec 2019
Nipashe

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imesema kwamba ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha waraka kudhibiti utoro shuleni ambao pamoja na...

16Dec 2019
Nipashe

HATIMAYE dirisha dogo la usajili kwa klabu za Tanzania Bara kwa ajili ya kuimarisha vikosi vyao, limefunguliwa rasmi leo kabla ya kufungwa ifikapo...

14Dec 2019
Nipashe

MICHUANO ya Kombe la Chalenji kwa upande wa Kundi B, inatarajiwa kuendela leo kwa kuchezwa mechi mbili za kuhitimisha hatua hiyo ya makundi ambazo...

13Dec 2019
Nipashe

MSAMAHA kwa wafungwa takribani 5,533 uliotolewa na Rais John Magufuli, kwenye sikukuu ya Uhuru wa Tanzania mapema wiki hii, bila shaka umeleta...

12Dec 2019
Nipashe

HUU ni msimu wa sikukuu ambao kila mmoja anafikiria namna ya kujifurahisha, kuburudika na kuifanya familia yake ijisikie vizuri kwa wengine wakati...

Pages