MAONI YA MHARIRI »

16May 2019
Nipashe

TAARIFA kwamba zaidi ya Sh. milioni 800 zinatarajiwa kutumika kwenye zoezi la kuwafungia tembo mkanda wenye mawasiliano na satelaiti, unaotumika...

15May 2019
Nipashe

Kwa takribani siku nane ambazo mvua za masika zimenyesha mfululizo katika Jiji la Dar es Salaam, athari zilitokea, vikiwamo vifo vya watoto wawili...

14May 2019
Nipashe

WAUGUZI ni miongoni mwa wafanyakazi muhimu wanaotegemewa katika sekta ya afya, Mei 12, wameungana na wenzao kuadhimisha ya siku ya Uuguzi na...

13May 2019
Nipashe

HATIMAYE kwa majonzi makubwa Alhamisi ya Mei 9, mwaka huu familia, wafanyakazi wa IPP na Watanzania kwa ujumla wakiongozwa na Waziri Mkuu Kassim...

11May 2019
Nipashe

HATIMAYE baada ya mvutano wa muda mrefu, Klabu ya Yanga imepata uongozi mpya uliopatikana katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili iliyopita...

10May 2019
Nipashe

Taarifa kwamba wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wanaugua ugonjwa wa homa ya dengue, zinapaswa kutushtua na kuchukua hatua za tahadhari.

08May 2019
Nipashe

TAARIFA kwamba zahanati moja wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, imefungwa na serikali kwa zaidi ya mwezi mmoja, kutokana na hofu ya imani za...

07May 2019
Nipashe

MIONGONI mwa sababu ambazo zimekuwa zikitajwa kuchangia kushuka kwa kiwango cha elimu nchini ni kukosekana kwa miundombinu rafiki katika shule...

06May 2019
Nipashe

WIKI iliyopita Kocha wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Emmanuel Amunike, alitangaza kikosi chake kitakachoingia kambini mwezi ujao kwa ajili ya...

04May 2019
Nipashe

WAKATI taarifa kutoka katika familia ikisema kuwa mwili wa Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, unatarajia kuwasili nchini Jumatatu...

Pages