MAONI YA MHARIRI »

04Nov 2019
Nipashe

HATIMAYE mashabiki wa soka nchini wameshuhudia msimu mbaya kwa timu za Tanzania kuvurunda kwenye michuano ya kimataifa, Ligi ya Mabingwa na Kombe...

02Nov 2019
Nipashe

KESHO wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kimataifa, Klabu ya Yanga watashuka dimbani nchini Misri kucheza mechi yao ya mchujo ya marudiano...

01Nov 2019
Nipashe

TAARIFA za ukatili kwa binadamu zilizoripotiwa jana na gazeti letu zinaonyesha jinsi ambavyo vitendo vya udhalimu huko Shinyanga vilivyosababisha...

31Oct 2019
Nipashe

TAARIFA kuwa idadi ya watu wanaofariki dunia kutokana na kiharusi nchini ni kubwa ni habari ambazo licha ya kusikitisha zinaogopesha pia.

30Oct 2019
Nipashe

MVUA zinazoendelea kunyesha licha ya kusababisha mafuriko kwenye maeneo mengine, ni fursa nyingine ya uhakika kwenye kilimo kwa sababu zimewahi na...

29Oct 2019
Nipashe

MCHAKATO wa uchaguzi wa serikali za mitaa unaanza rasmi leo. Na huu ndiyo wakati wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi uwe katika serikali...

28Oct 2019
Nipashe

HATIMAYE Shirikisho la Soka nchini (TFF), limehitimisha mchakato wa kumsaka Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars kwa kumrasimisha Mrundi...

26Oct 2019
Nipashe

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa, Yanga watashuka dimbani kesho kwenye mechi ya kwanza ya mchujo kuwania kufuzu hatua ya...

25Oct 2019
Nipashe

UMOJA wa Mataifa (UN) sasa umetimiza miaka 74. Hongera rafiki kipenzi UN, umekuwa chanzo cha maendeleo, ushirikiano, umoja na ulinzi wa amani na...

24Oct 2019
Nipashe

WABUNGE wamenusu harufu ya kukwama kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na kueleza mambo mengi yanayoonyesha kuwa hatima ya taasisi hiyo ya umma,...

Pages