MAONI YA MHARIRI »

14Apr 2018
Nipashe

YANGA ndio wawakilishi pekee wa Tanzania waliobakia katika mashindano ya kimataifa, baada ya watani zao Simba kutolewa kwenye michuano ya Kombe la...

13Apr 2018
Nipashe

UHARIBIFU wa misitu ni moja ya changamoto ambazo zimekuwa zikitajwa kila uchao kuwa kikwazo katika maendeleo endelevu ya nchi yetu.

12Apr 2018
Nipashe

TAARIFA kwamba mapato ya serikali yameongezeka kwa kipindi cha miezi tisa, ni za kutia moyo na zinaonyesha jinsi hatua kadhaa za serikali...

11Apr 2018
Nipashe

WATUMISHI wa umma walioondolewa katika utumishi kwa kigezo cha elimu wamerejeshewa matumaini, baada ya serikali kusitisha uamuzi huo na...

10Apr 2018
Nipashe

USHIRIKIANO kati ya serikali na madhehebu ya dini ni jambo muhimu sana katika maendeleo endelevu ya nchi na kwa Bahati nzuri umekuwapo ushirikiano...

09Apr 2018
Nipashe

MICHUANO ya Ligi Kuu Bara ndio ya hadhi ya juu kabisa nchini ambayo huyo hutoa mwakilishi wa nchi katika mashindano ya kimataifa ya Ligi ya...

07Apr 2018
Nipashe

YANGA, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, leo wanashuka uwanjani kupeperusha bendera ya nchi katika mashindano ya Kombe la Shirikisho...

06Apr 2018
Nipashe

WAKATI maandalizi yakiendelea kwa ajili ya marekebisho vya Sheria ya Vyama vya Siasa ya Mwaka 1992, suala la kuimarisha vyama hivyo ni muhimu.

05Apr 2018
Nipashe

MIONGONI mwa changamoto za muda mrefu nchini ilikuwa ya gharama kubwa za umeme. Changamoto hiyo imekuwa ikiwakabili watumiaji wote wa nishati hiyo...

04Apr 2018
Nipashe

MKUTANO wa 11 wa Bunge, ambao ni mahsusi kwa ajili ya bajeti ya serikali kwa mwaka 2018/19, ulianza jana mjini Dodoma.

Pages