MAONI YA MHARIRI »

23Apr 2020
Nipashe

WASTAAFU wengi hususan wa umma wamekuwa wakikumbana na kikwazo cha kulipwa mafao yao baada ya kustaafu utumishi.

22Apr 2020
Nipashe

UUZAJI wa chakula mitaani kwenye miji midogo, mikubwa na majiji nchini ni ujasiriamali unaokubalika. Tena, kazi hii ya baba na mamalishe...

21Apr 2020
Nipashe

KATIKA hali inayoonyesha kwamba elimu inayoendelea kutolewa nchini na serikali pamoja na wadau kwa umma, kuhusu hatua za kuchukua kujiepusha na...

20Apr 2020
Nipashe

TAKRIBANI dunia nzima kwa sasa katika sekta ya michezo kimya kimetawala, hakuna mchezo wowote unaoendelea wala burudani kutokana na janga la...

18Apr 2020
Nipashe

WAKATI bado hatima ya Ligi Kuu Bara msimu huu wa mwaka 2019/20 haijajulikana kutokana na kuwapo kwa sakata la ugonjwa wa corona (COVID 19), klabu...

17Apr 2020
Nipashe

WATANZANIA wanahitaji kupata taarifa kamili kuhusu masuala ya corona. Hii ni kwa sababu watu wengi wanapendelea kusikiliza mambo kwa juu juu na...

15Apr 2020
Nipashe

TATIZO la ajira nchini linazidi kushika kasi na kinachoonekana ni uwezo mdogo wa Watanzania hasa wanafunzi wa vyuo vikuu ambao licha ya kuelimika...

14Apr 2020
Nipashe

UGONJWA wa COVID 19 unabadilisha taratibu za maisha na kuifanya dunia kutumia teknolojia zaidi badala ya kuendeleza mambo ya zamani.

11Apr 2020
Nipashe

DIRISHA la usajili kwa ajili ya wachezaji watakaoshiriki katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza, Ligi Daraja la Pili...

10Apr 2020
Nipashe

USAFI wa mikono na mwili wakati huu wa kupambana na corona ni jambo linalotoa chan gamoto kwa mataifa yote duniani kuwekeza kwenye miradi ya maji...

Pages