MAONI YA MHARIRI »

26Sep 2019
Nipashe

SUALA la usawa wa kijinsia na haki sawa kwa wote ndiyo  msingi wa maendeleo ya kila kitu. 
Ndiyo maana wakati wote suala la kuwa na usawa wa...

25Sep 2019
Nipashe

KATIKA mambo ambayo watu wenye ulemavu wanayaainisha kuwa yanawakwamisha kwenye kupata huduma ni ukosefu wa mawasiliano hasa ya lugha ya alama...

24Sep 2019
Nipashe

HATUA ya Rais John Magufuli kuwashauri  watuhumiwa wa kesi za kuhujumu uchumi na kutakatisha fedha walioko mahabusu kuomba radhi  na kurejesha...

23Sep 2019
Nipashe

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa, Yanga na Azam wamekwea pipa kwenda Zambia na Zimbabwe tayari kwa mechi zao za marudiano...

21Sep 2019
Nipashe

SAFARI ya Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), kusaka tiketi ya kushiriki katika fainali zijazo za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa...

20Sep 2019
Nipashe

MOJA ya taarifa zilizotikisa wasomaji wengi wakati huu tunapoelekea mwisho wa wiki ni kuwapo maambukizi mengi ya homa ya ini hapa nchini.

19Sep 2019
Nipashe

WANAFUNZI zaidi ya 900,000 wamehitimu darasa la saba mwezi huu na sasa kinachoendelea ni maandalizi ya kujiunga na masomo ya sekondari kwa kidato...

18Sep 2019
Nipashe

UKAGUZI wa mabasi ya daladala asubuhi na mapema unaofanywa na trafiki kwenye barabara zote jijini Dar es Salaam, wakati mwingine unawakera abiria...

17Sep 2019
Nipashe

KWA miongo mingi tatizo la nyanda za malisho na ukosefu wa majani kwa mifugo nchini, limekuwa kubwa na kusababisha watu kupoteza maisha na mali....

16Sep 2019
Nipashe

BAADA ya kufanikiwa kutinga hatua ya makundi kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia nchini Qatar 2022, timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars),...

Pages