MAONI YA MHARIRI »

08Aug 2019
Nipashe

KILA mwaka Agosti 8, ni Maadhimisho ya Nanenane au Siku ya Wakulima ambayo pamoja na wiki nzima ya maonyesho ya Nanenane yanayofanyika kwa...

07Aug 2019
Nipashe

SUALA la uzazi wa mpango ni ajenda ya dunia, sababu mojawapo ikiwa ni kupunguza mzigo wa umaskini na makali ya maisha kwa familia nyingi.

06Aug 2019
Nipashe

TAARIFA kwamba Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inakusudia kufanya sensa ya kilimo, uvuvi na ufugaji nchini ili kupata matokeo ya mchango wa sekta...

05Aug 2019
Nipashe

ZIBAKI siku 18 kabla ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara kuanza rasmi, ligi hiyo ikitarajiwa kushirikisha timu 20 kama ilivyokuwa msimu...

03Aug 2019
Nipashe

KESHO Taifa Stars itashuka uwanjani ugenini nchini Kenya kuivaa timu ya Taifa hilo, Harambee Stars, kwenye mechi ya marudiano ya kuwania kufuzu...

02Aug 2019
Nipashe

UTEKELEZAJI wa miradi mikubwa umekuwa ukifuatiliwa kwa karibu sana na serikali pamoja na wadau wa mazingira, lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa...

01Aug 2019
Nipashe

MAPEMA wiki hii serikali ilitoa taarifa ya kuwapo kwa baadhi ya watu wanaofanya biashara ya kusafirisha binadamu kwa kuchukua watoto wenye ulemavu...

30Jul 2019
Nipashe

ONGEZEKO la idadi ya watalii wanaoingia nchini kama ilivyotangazwa na serikali ni habari njema kutokana na kuongezeka kwa pato la ndani la taifa...

29Jul 2019
Nipashe

ZIKIWA zimebakia siku 25 kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa 2019/20 ili Ligi Kuu Tanzania Bara iweze kuanza, kumekuwa na mijadala mbalimbali...

27Jul 2019
Nipashe

KUMALIZIKA kwa safari moja, ndio mwanzo wa safari nyingine. Hayo ndiyo maisha ya soka yalivyo.

Pages