MAONI YA MHARIRI »

24Apr 2016
Lete Raha

YANGA itamenyana na Sagrada Esperanca ya Angola kuwania kuingia kwenye makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika, mechi ya kwanza ikichezwa...

24Apr 2016
Nipashe

Wakati mvua zinazoendelea kunyesha nchini tayari zimesababisha maafa na hasara kubwa kwa makazi ya watu pamoja na uharibifu mkubwa wa mazao,

23Apr 2016
Nipashe

TANZANIA inapigania ustawi wa sekta ya michezo ili ilete tija, siyo tu washiriki bali hata pato kwa serikali na wahusika, kwa maana ya washiriki...

22Apr 2016
Nipashe

SERIKALI imewasilisha bungeni mapendekezo ya kugharimia utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa miaka mitano 2015/16 hadi 2020/21, ikieleza...

21Apr 2016
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana, tulichapisha habari ikieleza kwamba wauguzi wa wodi ya wazazi katika Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani,...

20Apr 2016
Nipashe

WAKATI jana Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilianza Mkutano wake wa Tatu ambao pamoja na mambo mengine utajadili bajeti ya...

19Apr 2016
Nipashe

MKUTANO wa tatu wa Bunge la 11 unaanza leo mjini Dodoma pamoja na mambo mengine, kujadili bajeti ya Serikali kwa mwaka ujao wa fedha 2016/17.

18Apr 2016
Nipashe

KWA muda mrefu sekta ya michezo imekuwa ikilalamikiwa kushindwa kupiga hatua. Kuna sababu nyingi zimechangia hali hiyo, lakini kubwa ni uwepo wa...

17Apr 2016
Nipashe Jumapili

Katika hali inayoonyesha kugwaya kwa mhimili mmoja wa dola katika Vita Kuu ya Kwanza dhidi ya ufisadi nchini, Bunge juzi lilitoa taarifa...

16Apr 2016
Nipashe

LIGI Kuu Bara inakwenda kwenye hatua za lala salama, huku pia ushindani ukizidi kuongezeka.

Pages