MAONI YA MHARIRI »

07Sep 2016
Nipashe

JUMLA ya watahiniwa 795,761 leo wataanza kufanya mtihani wa taifa wa darasa la saba nchini.

06Sep 2016
Nipashe

MKUTANO wa nne wa Bunge la 11 unaanza leo mjini Dodoma.

05Sep 2016
Nipashe

MARA kwa mara Shirikisho la Soka Tanzania - TFF limekuwa likilalamikiwa na wadau mbalimbali wa soka kutokana na linavyotekeleza majukumu yake.
...

04Sep 2016
Nipashe Jumapili

UTEKELEZAJI wa mkakati wa Serikali katika kudhibiti malipo hewa ya mishahara kwa watumishi hewa wa umma unaendelea kushika kasi.

03Sep 2016
Nipashe

KWA mara ya kwanza Tanzania inatarajia kuendesha Ligi Kuu ya Wanawake ambayo itaanza kwa kushirikisha klabu 10 kutoka mikoa mbalimbali ya Bara....

02Sep 2016
Nipashe

WAKATI serikali ikisisitiza nidhamu katika ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha za umma, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB...

01Sep 2016
Nipashe

MATUKIO ya kuungua kwa mabweni katika shule kadhaa nchini yameendelea kushika kasi, kufuatia taarifa za moto kuteketeza jengo la wavulana katika...

31Aug 2016
Nipashe

SERIKALI imeshauriwa kujitoa kwenye soko la pamoja la forodha la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),kutokana na kupungua kwa mizigo katika Bandari...

30Aug 2016
Nipashe

TAARIFA kwamba Serikali inakusudia kupima na kupanga ardhi yote nchini zinaleta matumaini.

29Aug 2016
Nipashe

WIKI iliyopita wachezaji wa Yanga waligomea mazoezi ya mwisho kujiandaa na machezo wao dhidi ya TP Mazembe wa kombe la shirikisho Afrika kwa kile...

Pages