MAONI YA MHARIRI »

03Mar 2017
Nipashe

HATIMAYE awamu ya kwanza ya utekelezaji wa uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma imekamilika juzi baada ya wizara zote kuhamia mjini humo.

02Mar 2017
Nipashe

SERIKALI imebaini kuwapo kwa ukiukwaji mkubwa wa taratibu za kibiashara katika minada ya madini na hasa mkoani Arusha na kwenye eneo la Mererani...

01Mar 2017
Nipashe

BAADA ya kuwapo kwa taarifa ya ukame wa muda mrefu katika baadhi ya maeneo nchini, hatimaye mvua zimeanza kunyesha kwa wiki kadhaa sasa.

28Feb 2017
Nipashe

UKIWA umebaki mwezi mmoja kabla ya kuanza kwa Bunge la Bajeti mjini Dodoma, Nipashe tumegundua kuwa mawaziri 13 wanakabiliwa na mtihani mgumu...

27Feb 2017
Nipashe

MCHEZO uliowakutanisha watani wa jadi, Simba na Yanga juzi Jumamosi ulimalizika kwa amani na utulivu mkubwa tofauti na ulivyotarajiwa.

26Feb 2017
Nipashe Jumapili

JESHI la Polisi katika Kanda Malumu ya Dar es Salam limetoa agizo la kuwataka madereva wa pikipiki zinazotoa huduma za usafiri maarufu kama...

25Feb 2017
Nipashe

LEO ndio ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki wengi wa soka nchini na hata nchi jirani wanaofuatilia ligi yetu ya Tanzania...

24Feb 2017
Nipashe

TAASISI ya Sekta Binafsi (TPSF) juzi iliishauri serikali kuanzisha programu maalum itakayoweza kuwapatia wahitimu wa vyuo vikuu, ujuzi kabla ya...

23Feb 2017
Nipashe

KITUO cha Msaada wa Kisheria kwa wanawake (WLAC), juzi kilisema kimebaini aina nyingine ya ukatili wa kijinsia wanaofanyiwa wanawake - kuachiwa...

22Feb 2017
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana ukurasa wa 10, tulichapisha habari yenye kichwa kinachosomeka: 'Watumishi halmashauri watajwa kuongoza kuomba rushwa.'...

Pages