MAONI YA MHARIRI »

23Mar 2016
Lete Raha

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya Afrika, Yanga na Azam, wote wamefanikiwa kuingia Raundi za Pili za michuano hiyo baada ya kuwatoa...

23Mar 2016
Nipashe

UTEKELEZAJI wa agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, la kuwataka watu wote wanaomiliki silaha mkoani humo, umeanza.

22Mar 2016
Nipashe

JUZI Zanzibar ilifanya uchaguzi wa marudio wa Rais, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani, ambao ulimpa ushindi wa asilimia 91.4 mgombea wa...

21Mar 2016
Nipashe

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanznia Bara, timu ya Yanga wamefanikiwa kutinga raundi ya pili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada...

20Mar 2016
Nipashe Jumapili

Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Wananchi (JUVI-CUF), juzi iliwataka vijana wa chama hicho visiwani Zanzibar kutekeleza msimamo wao wa kutoshiriki...

19Mar 2016
Nipashe

TANZANIA inajianda kushiriki michuano ya kimataifa ya Olimpiki yatakayofanyika Agosti mwaka huu nchini Brazil.
Michuno hii mikubwa ya...

18Mar 2016
Nipashe

SERIKALI imesema kuwa watu 3,000 wametiwa mbaroni nchini kwa tuhuma za kuhusika na biashara ya dawa za kulevya.

17Mar 2016
Nipashe

SERIKALI imebainisha kwamba kuna uozo wa watumishi hewa katika halmashauri nyingi nchini, hali ihayosababisha serikali itumia fedha nyingi...

16Mar 2016
Nipashe

UCHAGUZI wa marudio Zanzibar wa rais, wawakilishi na madiwani, unatarajiwa kufanyika Jumapili ijayo.

15Mar 2016
Nipashe

RAIS John Magufuli, ameendelea na mchakato wa kuunda serikali yake kwa kuteua wakuu wa mikoa.

Pages