MAONI YA MHARIRI »

19Jan 2017
Nipashe

KATIKA toleo la jana la Nipashe tulikuwa na habari kwamba Polisi mmoja wa Kituo cha Kigoma Mjini na askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani...

18Jan 2017
Nipashe

KAMPENI za Uchaguzi Mdogo wa Udiwani na Ubunge utakaofanyika Jumapili zinaelekea ukingoni sasa huku kukiwa na taarifa za purukushani za hapa na...

17Jan 2017
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana, tuliripoti kwamba Mkoa wa Mtwara umeboronga matokeo ya mtihani wa taifa wa upimaji wa kidato cha pili.

16Jan 2017
Nipashe

MICHUANO ya Afrika imeanza juzi nchini Gabon na nchi 16 zinashiriki michuano hiyo mikubwa kwa timu za taifa barani Afrika.

15Jan 2017
Nipashe Jumapili

UCHUNGUZI wa Polisi katika sakata la kukwama kwa utekelezaji wa zabuni ya ununuzi wa sare za Jeshi la Polisi licha ya malipo kukamilika umegundua...

14Jan 2017
Nipashe

SHIRIKISHO la soka la Afrika (CAF) juzi lilipanga makundi ya timu za taifa kuwania kufuzu kwa fainali za Afrika mwaka 2019 nchini Cameroon.

13Jan 2017
Nipashe

WAKATI Tanzania Visiwani ikiadhimisha miaka 53 ya mapinduzi kwa gwaride maalumu lililofanyika kwenye Uwanja wa Amaan jana, takwimu zilizopo...

12Jan 2017
Nipashe

WATOTO watano wa familia moja walikufa maji baada ya boti ya MV Burudan iliyokuwa imebeba watu nane wa familia hiyo na wengine zaidi ya 30 kuzama...

11Jan 2017
Nipashe

MVUA za mwaka huu zilizoanza kunyesha tangu mapema ya Novemba, mwaka jana katika baadhi ya mikoa, zimekuwa za shaka kiasi cha kutishia hali ya...

10Jan 2017
Nipashe

WATU wawili wanaotuhumiwa kuwa majambazi waliuawa wakati wakihojiwa katika ofisi ya Mtendaji wa kijiji cha Lupa Market, kata ya Ifumbo wilayani...

Pages