MAONI YA MHARIRI »

16Nov 2016
Nipashe

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imeweka hadharani majina ya wadaiwa sugu 142,470 waliokopa kuanzia mwaka wa masomo 1994/95,...

15Nov 2016
Nipashe

TIBA asili ni muhimu kwa kuwa zimekuwa zikitolewa na kuwatibu watu wengi nchini.

14Nov 2016
Nipashe

Timu ya Taifa, Taifa Stars, ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Zimbabwe jana, katika moja ya michezo kadhaa ya kirafiki na ya awali ya Kombe la...

13Nov 2016
Nipashe Jumapili

KATI ya taarifa zilizowagusa wengi kwenye vyombo vya habari mwishoni mwa wiki niile ya kulazwa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa mke...

12Nov 2016
Nipashe

MSINGI MKUU wa haki za binadamu ni kwamba kila mtu anastahili kadhaa si kwa kutegemea cheo, wala taifa, tabaka, jinsia, dini au sababu nyingine...

11Nov 2016
Nipashe

JESHI la Polisi limewafuta nyadhifa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Tabora (RTO), Shida Machumu na Mkuu wa Kikosi cha Usalama wa...

10Nov 2016
Nipashe

INAONEKANA dhahiri kwamba ugonjwa wa kipindupindu umeshindikana kudhibitiwa nchini.

09Nov 2016
Nipashe

TUME ya Sayansi na Teknolojia (Costech), imebaini maeneo hatarishi kwa kuishi katika kata 29 jijini Dar es Salaam, na kupendekeza serikali...

08Nov 2016
Nipashe

KAYA 118 zenye watu zaidi ya 700 katika Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, hazina makazi, baada ya nyumba zao kubomolewa na nyingine kuezuliwa na...

07Nov 2016
Nipashe

LIGI kuu ya Bara imemaliza nusu msimu jana huku macho na masikio ya wapenzi wa soka yakiwa kwenye viwanja vya Sokoine na Uhuru, ambako vigogo wa...

Pages