MAONI YA MHARIRI »

06Nov 2016
Nipashe Jumapili

HIVI karibuni kumekuwa na matukio ya mara kwa mara ya uporaji. Wananchi wasio na hatia wamekuwa wakishambuliwa, kujeruhiwa na kisha kupoteza mali...

05Nov 2016
Nipashe

MZUNGUKO wa kwanza wa ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2016/2017 unatarajia kumalizika baada ya michezo ya wiki ijayo ambapo timu zote zitakuwa...

04Nov 2016
Nipashe

MJADALA wa taarifa ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mwongozo wa kuandaa bajeti ya serikali kwa mwaka ujao wa fedha 2017/18, uliowasilishwa...

03Nov 2016
Nipashe

MANISPAA ya Ubungo juzi ilifanya uchaguzi wa meya katika mazingira ya amani na utulivu.

02Nov 2016
Nipashe

ZIARA ya siku mbili ya Rais John Magufuli nchini Kenya iliyoanza juzi na kumalizika jana, imeonyesha kuongeza fursa za ushirikiano kati ya...

01Nov 2016
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana tulichapisha habari ikieleza tukio la Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo, kumvua madaraka katikati ya sherehe Mkuu...

31Oct 2016
Nipashe

KATIBU Mkuu wa Baraza la Michezo (BMT), Mohammed Kiganja mwishoni mwa wiki iliyopita alitoa tamko la serikali juu ya michakato inayoendelea kwa...

30Oct 2016
Nipashe Jumapili

KUNA taarifa za kushitusha juu ya kushamiri kwa dawa bandia za binadamu katika maeneo mbalimbali nchini.

29Oct 2016
Nipashe

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linataka ufafanuzi kutoka klabu ya Yanga ya Dar es Salaam juu ya mabadiliko ya mwendeshaji wa timu.

28Oct 2016
Nipashe

KUNA taarifa za kitaalamu kwamba ulaji wa vyakula vyenye viambata vya kemikali hatari kiafya ni miongoni mwa sababu zinazochangia kuwapo kwa kasi...

Pages