MAONI YA MHARIRI »

03Nov 2016
Nipashe

MANISPAA ya Ubungo juzi ilifanya uchaguzi wa meya katika mazingira ya amani na utulivu.

02Nov 2016
Nipashe

ZIARA ya siku mbili ya Rais John Magufuli nchini Kenya iliyoanza juzi na kumalizika jana, imeonyesha kuongeza fursa za ushirikiano kati ya...

01Nov 2016
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana tulichapisha habari ikieleza tukio la Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo, kumvua madaraka katikati ya sherehe Mkuu...

31Oct 2016
Nipashe

KATIBU Mkuu wa Baraza la Michezo (BMT), Mohammed Kiganja mwishoni mwa wiki iliyopita alitoa tamko la serikali juu ya michakato inayoendelea kwa...

30Oct 2016
Nipashe Jumapili

KUNA taarifa za kushitusha juu ya kushamiri kwa dawa bandia za binadamu katika maeneo mbalimbali nchini.

29Oct 2016
Nipashe

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linataka ufafanuzi kutoka klabu ya Yanga ya Dar es Salaam juu ya mabadiliko ya mwendeshaji wa timu.

28Oct 2016
Nipashe

KUNA taarifa za kitaalamu kwamba ulaji wa vyakula vyenye viambata vya kemikali hatari kiafya ni miongoni mwa sababu zinazochangia kuwapo kwa kasi...

27Oct 2016
Nipashe

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kinakabiliwa na uhaba wa wanataaluma 400 wa kada na fani mbalimbali, wakiwamo wahadhiri waandamizi.

26Oct 2016
Nipashe

TANZANIA na Morocco zimesainiana mikataba 23 ya ushirikiano katika sekta mbalimbali.

25Oct 2016
Nipashe

KUNA taarifa za kuwapo mgogoro mkubwa baina ya mgodi wa almasi wa Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga na vijana wanaouzunguka.

Pages