MAONI YA MHARIRI »

04Jul 2016
Nipashe

SERENGETI Boys - Timu ya Taifa ya Vijana, imeonyesha mwanga mzuri unaopaswa kuendelezwa ili kufufua matumaini ya Tanzania kufanya vizuri kwenye...

03Jul 2016
Nipashe Jumapili

TANZANIA kwa siku mbili ilikuwa na ugeni wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, ambaye alikuwa nchini kwa ziara ya siku mbili.

02Jul 2016
Nipashe

KWA mara nyingine timu ya soka ya vijana ya Taifa ya umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) leo inatarajia kushuka dimbani kuwavaa wenyeji...

01Jul 2016
Nipashe

UTEKELEZAJI wa bajeti ya Serikali kwa mwaka huu wa fedha 2016/17 unaanza leo. Utekelezaji huo utasababisha bei na gharama za baadhi ya bidhaa na...

30Jun 2016
Nipashe

KUNA taarifa njema na za kutia matumaini kwa Watanzania, kwamba kiasi kikubwa cha gesi aina ya Helium imegundulika nchini.

29Jun 2016
Nipashe

VYOMBO vya dola kupitia Jukwaa la Haki Jinai, vilikutana kwa siku mbili mjini Dodoma juzi na jana kwa ajili ya kupanga mikakati ya kuanzisha...

28Jun 2016
Nipashe

RAIS John Magufuli juzi alitangaza uteuzi wa wakuu wapya wa wilaya 139.

27Jun 2016
Nipashe

KUNA tatizo kubwa katika sekta ya michezo nchini. Moja ya kiini cha kukwamisha ustawi wa sekta hiyo ni uwapo wa viongozi wabovu na wasiokwenda...

26Jun 2016
Nipashe Jumapili

MIONGONI mwa matukio yaliyotikisa nchini katika miezi ya hivi karibuni ni kufichuka kwa kashfa ya kuwapo kwa utitiri wa watumishi hewa.

25Jun 2016
Nipashe

BAADA ya timu ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) kutolewa katika mbio za kusaka tiketi ya kushiriki fainali zijazo za Kombe la Afrika mwakani, sasa...

Pages