MAONI YA MHARIRI »

07Oct 2016
Nipashe

JANA tulichapisha habari ndefu ya uchunguzi ikieleza jinsi kinamama wanaokwenda kujifungua wanavyopata mahangaiko katika Hospitali ya Taifa ya...

06Oct 2016
Nipashe

KUNA taarifa za kulipuka upya kwa ugonjwa wa kipindupindu katika Manispaa ya Dodoma.

05Oct 2016
Nipashe

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani, limekusanya Sh. milioni 464.790 kutokana na makosa mbalimbali...

04Oct 2016
Nipashe

JANA vyombo mbalimbali vya habari viriripoti tukio la kusikitisha la mauaji ya watafiti wawili na dereva mmoja wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha...

03Oct 2016
Nipashe

SERIKALI imezuia mapato ya mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam hadi hapo itakapopata gharama za...

01Oct 2016
Nipashe

LEO hisia za mashabiki wa soka nchini zinaelekezwa kwenye uwanja wa Taifa kwenye pambano la vigogo wa soka Tanzania Simba na Yanga ambazo...

30Sep 2016
Nipashe

JUZI Rais John Magufuli alizindua ndege mpya zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL).

29Sep 2016
Nipashe

KATIKA toleo la jana, tulichapisha habari ikieleza kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, Said Mtanda, ameagiza kusimamishwa kazi na kufanyika...

28Sep 2016
Nipashe

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimekumbwa na mpasuko, baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, kumrejesha Mwenyekiti aliyejiuzulu,...

27Sep 2016
Nipashe

WAKATI wiki ya usalama barabarani ilizinduliwa jana, takwimu zilizoko zinatisha kutokana na idadi ya vifo na majeruhi kuwa kubwa kwa miezi saba ya...

Pages