MAONI YA MHARIRI »

17Sep 2016
Nipashe

TIMU ya Soka ya Taifa ya Vijana ya umri chini ya miaka 17, maarufu kama Serengeti Boys, kesho itakuwa na kibaria kigumu itakapotupa kete yake kwa...

16Sep 2016
Nipashe

MAKUNDI mbalimbali ya jamii yanaendelea kutoa misaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi lililoukumba mkoa wa Kagera Jumamosi iliyopita na...

15Sep 2016
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana tulichapisha habari kuhusiana na jinsi wabunge wanavyojikuta wakiingia katika mtego wa rushwa ili kushawishi kupitishwa...

14Sep 2016
Nipashe

MOJA ya hatua zinazochukuliwa na serikali hivi sasa, ni pamoja na kufuta posho ambazo hazina umuhimu.

13Sep 2016
Nipashe

TETEMEKO la ardhi lililotokea katika mikoa ya Kanda ya Ziwa Jumamosi iliyopita na kusababisha vifo vya watu 16, 253 kujeruhiwa, nyumba zaidi ya...

12Sep 2016
Nipashe

SOKA ni mchezo ambao mafanikio yake hayapatikani kwa njia ya mkato zaidi ya wahusika kuwekeza kikamilifu.

11Sep 2016
Nipashe Jumapili

WABUNGE wa kambi ya upinzani chini ya mwavuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), hatimaye wamebadili uamuzi wao wa kususia vikao vya Bunge...

10Sep 2016
Nipashe

KWANZA Nipashe tunaanza kwa kuipongeza Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuufanyia marekebisho Uwanja wa zamani...

09Sep 2016
Nipashe

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, juzi alisema kwamba mahakimu 11 ni kati ya watumishi 34 wa mahakama waliofukuzwa kazi mwezi uliopita...

08Sep 2016
Nipashe

SERIKALI imetoa siku saba kwa wadaiwa sugu wote wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), zikiwamo wizara na taasisi za serikali kulipa madeni yao,...

Pages