MAONI YA MHARIRI »

14Sep 2016
Nipashe

MOJA ya hatua zinazochukuliwa na serikali hivi sasa, ni pamoja na kufuta posho ambazo hazina umuhimu.

13Sep 2016
Nipashe

TETEMEKO la ardhi lililotokea katika mikoa ya Kanda ya Ziwa Jumamosi iliyopita na kusababisha vifo vya watu 16, 253 kujeruhiwa, nyumba zaidi ya...

12Sep 2016
Nipashe

SOKA ni mchezo ambao mafanikio yake hayapatikani kwa njia ya mkato zaidi ya wahusika kuwekeza kikamilifu.

11Sep 2016
Nipashe Jumapili

WABUNGE wa kambi ya upinzani chini ya mwavuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), hatimaye wamebadili uamuzi wao wa kususia vikao vya Bunge...

10Sep 2016
Nipashe

KWANZA Nipashe tunaanza kwa kuipongeza Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuufanyia marekebisho Uwanja wa zamani...

09Sep 2016
Nipashe

JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, juzi alisema kwamba mahakimu 11 ni kati ya watumishi 34 wa mahakama waliofukuzwa kazi mwezi uliopita...

08Sep 2016
Nipashe

SERIKALI imetoa siku saba kwa wadaiwa sugu wote wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), zikiwamo wizara na taasisi za serikali kulipa madeni yao,...

07Sep 2016
Nipashe

JUMLA ya watahiniwa 795,761 leo wataanza kufanya mtihani wa taifa wa darasa la saba nchini.

06Sep 2016
Nipashe

MKUTANO wa nne wa Bunge la 11 unaanza leo mjini Dodoma.

05Sep 2016
Nipashe

MARA kwa mara Shirikisho la Soka Tanzania - TFF limekuwa likilalamikiwa na wadau mbalimbali wa soka kutokana na linavyotekeleza majukumu yake.
...

Pages