MAONI YA MHARIRI »

27Aug 2016
Nipashe

JUMAPILI iliyopita tumeshuhudia wanamichezo waliokuwa wanashiriki Michezo ya Olimpiki jijini Rio de Janeiro , Brazil wakimaliza michuano hiyo kwa...

26Aug 2016
Nipashe

SERIKALI imeonyesha kukerwa na tabia ya uvamizi na uharibifu wa vyanzo vya maji katika maeneo mengi nchini.

25Aug 2016
Nipashe

MATUKIO ya mauaji ya askari polisi yanayofanywa na watu wasiofahamika, yameendelea kushika kasi katika maeneo kadhaa nchini.

24Aug 2016
Nipashe

KUNA kauli kadhaa zinazoendelea kutolewa na baadhi ya wanasiasa, ambazo zina viashiria vyote vya kusababisha kutoweka kwa amani na utulivu nchini...

23Aug 2016
Nipashe

CHAMA cha Wananchi (CUF) juzi kilifanya Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi jijini Dar es Salaam, lakini ukakumbwa na vurugu na kuvunjika.

21Aug 2016
Nipashe Jumapili

AGIZO la Rais John Magufuli la kuwaondoa watumishi raia katika vikosi vya ulinzi na usalama, ikiwa ni jitihada za kuleta nidhamu, uwajibikaji na...

20Aug 2016
Nipashe

PAZIA la Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kwa msimu wa mwaka 2016/17, linafunguliwa rasmi leo kwa kushirikisha timu 16 kutoka mikoa mbalimbali...

19Aug 2016
Nipashe

UAMUZI wa Rais John Magufuli wa kutoa elimu bure umekumbana na kikwazo, kufuatia taarifa kwamba wakuu wa shule za msingi na sekondari wapatao 123...

18Aug 2016
Nipashe

UAMUZI uliotangazwa juzi na Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) kuwa itasitisha huduma ya kusafirisha abiria kwenda mikoa yote nchini...

17Aug 2016
Nipashe

KATIKA mkakati wa kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata Vitambulisho vya Taifa, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), imesema ifikapo Desemba...

Pages