MAONI YA MHARIRI »
Kila la kheri Yanga Afrika YANGA – wawakilishi wa nchi katika mashindano ya Klabu Afrika, wanashuka dimbani leo katika mchezo wao wa kwanza wa...
KATIKA toleo letu la jana, tulichapisha habari ikieleza kwamba magari madogo yanaongoza kwa kupata ajali mara kwa mara na kwamba madaraja ya...
SERIKALI imepanga kutumia Sh. trilioni 29.53 katika bajeti yake kwa mwaka ujao wa fedha 2016/17, huku ikionyesha kuwa italazimika kuongeza vyanzo...
PAMOJA na wito unaoendelea kutolewa na watu kadhaa wanaoitakia mema Zanzibar pamoja na jumuiya ya kimataifa kutaka pande zinazovutana kuzungumza...
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad, ameishauri serikali kwamba upangaji wa bajeti ya taifa upangwe kwa...
SOKA la Tanzania limetumbukia katika aibu kubwa ya upangaji matokeo. Katika mchezo wa soka unaoongozwa kwa kupendwa ukiwa na mashabiki zaidi ya...
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) lipo katika wakati mgumu kwa sasa kufuatia kukamatwa kwa gari zake zote tano, zinazofanya shughuli mbalimbali...
Inawezekana kuonekana kama ni jambo dogo, hasa linapoangaliwa kisiasa, lakini kitendo cha Rais John Magufuli kutangaza mshahara wake hadharani...
TANGU kuingia madarakani Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, shirikisho hilo limekuwa kiini cha malalamiko kutoka kwa wadau...
UHAKIKI wa watumishi wa umma uliofanywa katika mikoa yote nchini umebaini kuwapo kwa zaidi ya watumishi hewa1,850 katika idara na taasisi za...