MAONI YA MHARIRI »

20Mar 2018
Nipashe

RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa, amekosoa mfumo wa elimu nchini, akisema unatakiwa kuitishwa mjadala wa wazi wa kitaifa kwa ajili ya kutafakari hali...

19Mar 2018
Nipashe

WAWAKILISHI wa Tanzaniakwenye michuano ya kimataifa, Kombe la shirikisho Afrika na ligi ya mabingwa, Simba na Yanga zimetupwa nje kwenye michuano...

17Mar 2018
Nipashe

WAWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho, Yanga na Simba watashuka dimbani leo kwa...

16Mar 2018
Nipashe

KULIPA kodi ni wajibu wa kila raia katika kila nchi. ni jambo lililoanza miaka mingi pia limeandikwa katika vitabu vitukufu.

15Mar 2018
Nipashe

MVUA zilizothibitishwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuwa ni za masika, ambazo zimeanza kunyesha nchini, zimesababisha madhara kadhaa...

14Mar 2018
Nipashe

MIRADI kadhaa mikubwa ambayo itaanza kutekelezwa nchini inaelezwa kuwa italeta neema kwa maelfu ya wananchi kutokana na kutoa ajira za moja kwa...

13Mar 2018
Nipashe

UTAPELI wa ardhi kwa miaka ya karibuni hususan maeneo ya mijini umekuwa kero sugu kwa wengi.

12Mar 2018
Nipashe

TANZANIA kama nchi tupo katika maandalizi ya kushiriki  michezo ya Jumuiya ya  Madola ambayo itafanyika Aprili mwaka huu huko Austria.

10Mar 2018
Nipashe

MAPEMA wiki hii kulikuwa na michezo ya kimataifa kwa wawakilishi wa Tanzania Bara, klabu kongwe nchini Simba na Yanga ambazo kwa siku tofauti...

09Mar 2018
Nipashe

SERIKALI imetoa taarifa nyingine kuhusiana na zoezi la uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, ikionyesha ongezeko la wenye vyeti vya kughushi....

Pages