MAONI YA MHARIRI »

28Mar 2022
Nipashe

WAWAKILISHI pekee wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa kwa ngazi ya klabu, Simba wanatarajia kushuka dimbani Jumapili wiki hii kwenye mechi...

26Mar 2022
Nipashe

KUMEKUWA na kelele nyingi za wadau wa soka kuhusiana na mamuzi ya waamuzi wa mpira wa miguu kwenye Ligi Kuu Tanzania bara na zile za chini.

25Mar 2022
Nipashe

MWANZONI mwa mwezi huu kuliripotiwa kuwapo uchafuzi kwenye Mto Mara mkoani Mara uliosababisha samaki kufa na kuelea kwenye mto huo.

23Mar 2022
Nipashe

WIZARA ya Afya imetangaza kuwa inafuatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19 kilichothibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO), na...

22Mar 2022
Nipashe

MAJI ni hitaji muhimu sana katika maisha ya binadamu. Kutokana na umuhimu huo, kuna usemi kuwa ‘bila maji hakuna uhai’.

19Mar 2022
Nipashe

WAKATI ikiwa katika kibarua cha mechi za hatua ya makundi kwenye mashindano ya kimataifa ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba ya jijini Dar es...

15Mar 2022
Nipashe

JUZI Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemevu), Prof. Joyce Ndalichako, akieleza baadhi ya mafanikio ya...

14Mar 2022
Nipashe

ILIKUWA ni miezi takriban saba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani, pale kikosi cha Timu ya...

12Mar 2022
Nipashe

WAWAKILISHI pekee wa Tanzania na Ukanda wa Afrika Mashariki waliobakia katika mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika...

11Mar 2022
Nipashe

JANA Wizara ya Elimu, Sayansi na Tekonolojia, imesema imekamilisha uundaji wa mfumo wa kusahihisha mitihani, ambao utaanza na ya walimu wa vyuo...

Pages