MAONI YA MHARIRI »

07May 2019
Nipashe

MIONGONI mwa sababu ambazo zimekuwa zikitajwa kuchangia kushuka kwa kiwango cha elimu nchini ni kukosekana kwa miundombinu rafiki katika shule...

06May 2019
Nipashe

WIKI iliyopita Kocha wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Emmanuel Amunike, alitangaza kikosi chake kitakachoingia kambini mwezi ujao kwa ajili ya...

04May 2019
Nipashe

WAKATI taarifa kutoka katika familia ikisema kuwa mwili wa Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, unatarajia kuwasili nchini Jumatatu...

03May 2019
Nipashe

MWENYEKITI Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi Dubai, Falme za Kiarabu.

02May 2019
Nipashe

MPANGO unaoandaliwa na uongozi wa serikali mkoani Dar es Salaam wa kuweka utaratibu wa wafanyabiashara kufanya  biashara usiku, ni fursa ya...

01May 2019
Nipashe

WATANZANIA leo wanaungana na wenzao duniani  kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani maarufu kama Mei Mosi.

30Apr 2019
Nipashe

MOJA ya maelekezo aliyoyatoa Rais John Magufuli kwa viongozi wapya aliowateua hususan wakuu wa mikoa na wilaya baaada ya kuingia madarakani ni...

29Apr 2019
Nipashe

BAADA ya vuta nikuvute ya muda mrefu, hatimaye mchakato wa uchaguzi mkuu wa Klabu ya Yanga umekamikika na sasa utafanyika Jumapili jijini Dar es...

27Apr 2019
Nipashe

MSIMU wa Ligi Kuu Bara 2018/19, unaelekea ukingoni wakati huu timu 20 zinazoshiriki ligi hiyo isipokuwa Simba pekee, zikiwa zimebakiza mechi tano...

25Apr 2019
Nipashe

MAHAKAMA ni mhimili ambao umekuwa ukielekezewa lawama na raia wengi wa nchi yetu, kikubwa zaidi ni kucheleweshewa haki.

Pages